Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

Ukivisoma kama unavuta bange huwezi elewa vinasomwa kwa kumeditate ndo utavielewa.
Ujumbe uliomo ni kwa ajili ya watu wote na sio wakoloni au wakoloniwa na vimekuwepo hata kabla ya uwepo wa ukoloni duniani au hata kabla ya kutokea kwa wazungu duniani.
Ni vitabu vinavyomfundisha mtu kuacha dhambi na kutenda mema kwa faida yake mwenyewe haijalishi ni mzungu mwarabu, mwafrika, mchina nk.
 
Huna elimu ya kufungua siri ya mafumbo huwezi elewa nini kimeandikwa kwenye vitabu vile vilivyobeba siri za ulimwengu ikiwemo utajiri, maarifa, nguvu kuu za kushinda magonjwa, uchawi na matatizo yote, ambayo uwasumbua wengi kwa sababu wapo gizani.
 
Jana nilipita somewhere ghafla nikaanza kujiuliza hivi watu wote tungekuwa tumeamka tumeishi kwa kusudi na kufuata miongozo ya kiroho nani angeua mwenzie,nani angeiba au kumnyanyasa mtu nani angefanya maovu alafu nikapata jibu pia aisee dunia ina vitu vingi sana
 
ila mlioahidiwa bikira 72 kila kchwa, mito ya gongo na wanzuki hamjapotea au siyo, wenye dini ya kuenezwa kwa mauaji mko ok au vp.
 
DNA Hurithisha Tabia au Effects Mpaka Kizazi cha Tatu na Cha nne Baada ya Hapo DNA Halisi ya Mwanzo yaani ancestral DNA huwa haiathiri chochote Kwenye Kizazi kuanzia cha Tano na Kuendelea..
Una maanisha tabia zote au baadhi alizokuwa nazo mzazi wangu?
Embu nielezee zaidi mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…