Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

Vitabu vyote vimecopiana vinaingilia wanabadili tu terminology wengine wanaita Asili, Chanzo, Mungu ukideep ni maana moja tu.
Wengine uita roho, wengine energy ni kile kile, wengine dhambi, machafuko,giza, negative energy vyote maana ni moja tu
Taoism na Confucianism ilikuwepo miaka 600 kabla ya Biblia, Quran na Tanakh. Vinaingiliana vipi hapo. Ebu nenda kasome Filial pieties za Confucianism zilizoandikwa miaka 600 kabla ya Biblia, Quran na Tanakh uone nani kakopi kwa mwenzke!
 
Taoism na Confucianism ilikuwepo miaka 600 kabla ya Biblia, Quran na Tanakh. Vinaingiliana vipi hapo. Ebu nenda kasome Filial pieties za Confucianism zilizoandikwa miaka 600 kabla ya Biblia, Quran na Tanakh uone nani kakopi kwa mwenzke!
Content
 
Sasa hao ndio Wiseman kwa kingereza cha Oxford.

Angalia hata filamu za Wanaigeria wale Sangoma wao wanawaitaje kama siyo Wiseman?
Yajue maandiko uwe mwenye hekima na ufahamu ( wiseman).
Wiseman ni general inategemea unalitumia au kumaanisha upande gani wa Nuru au Giza.
Mfano waganga ni wiseman yaani Wana hekima ya maarifa ya kiroho
 
Ngoja nifunge code

Ukisoma historian nyingi za wafalme kwenye biblia utakuta neno

Sadaka ya kuteketeza so chanzo cha cha utajiri au mamlaka chanzo chake

Hawa jamaa walitoa sadaka za kumwaga damu ndipo Mungu huwajia na kuwatia mafuta kupitia watu hayo mafuta nikama

Ukamilifu au kibali so kwa mantiki hiyi kwenye maisha ya kawaida ya mwanadamu ili

Upate hivyo vitu lazima utoe kafara ndio maana hata matajiri wanasiasa nk wana utaratibu wa kutoa kafara

Na ili unielewe Bible soma kama stori na sio vifungu kama watumishi wanavyoo waambia

Bible ukisoma kwa kifungu itakupa faraja ya muda ila haitakupa siri

Je niwape code nyingine???
 
"Kwa wale waliofika level 3 illuminant na freemasonry....".haya mkuje Huku mtuambia Mwamba yupo sahihi au la
 
Ngoja nifunge code

Ukisoma historian nyingi za wafalme kwenye biblia utakuta neno

Sadaka ya kuteketeza so chanzo cha cha utajiri au mamlaka chanzo chake

Hawa jamaa walitoa sadaka za kumwaga damu ndipo Mungu huwajia na kuwatia mafuta kupitia watu hayo mafuta nikama

Ukamilifu au kibali so kwa mantiki hiyi kwenye maisha ya kawaida ya mwanadamu ili

Upate hivyo vitu lazima utoe kafara ndio maana hata matajiri wanasiasa nk wana utaratibu wa kutoa kafara

Na ili unielewe Bible soma kama stori na sio vifungu kama watumishi wanavyoo waambia

Bible ukisoma kwa kifungu itakupa faraja ya muda ila haitakupa siri

Je niwape code nyingine???
Toa shule kidogo kuhusu neno kafara ni nini,je ni lazima ihusishe damu?
 
"Nayaweza yote katika yeye anitiae nguvu 'hii ni code ya kuvunja kila gumu maisha iwe umasikini, laana,nk.
Mwanadamu ni Neno na sauti ndio uumba lipo somo la nguvu ya maneno na sauti kubariki kulaani , kuponya kuua nk.
 
Asante kwa mada nzuri

Hizi Code ni zipi pia zinaweza kutumika vipi
 
Kuna Vitu ambavyo Kumweleza Mtu mwingine Huwa Ni ngumu sana hasa Kama Vinaharibu mzizi ya Dini yote..

Kwa Mfano Umwambie Myahudi ,mkristo na Muislam Kuwa Misa hakuwahi kuwepo Duniani Ile story ya Misa Ni coded Language unafikiri Hujaharibu imani zao
Ahahahaha..hapo hata mimi tutagombana 🤣🤣.
Mkuu kama kuna source ya hii habar naomba nikasome. Maana siku hiz aiili yangu naona imeanza kufanya kazi nje ya box
 
Tell us more about this please! Hakika Kwa jinsi vifo vya haraka haraka vilivoongezeka nidhahiri majira yamebadilika. Lango la kuzimu lipo wazi na watu wanatumia kujinufaisha binafsi nakuangamiza wengine. Je! Nikwanamna Gani raia wakawaida watajilinda?
Wasichojua wengi ni kuwa kilichokuwa kinatawala ni mauti ila hivi sasa tupo majira ya umilele na umilele upo ndani yako kupitia Muumba kuishi ndani yako kama alivyosema yeye anaketi ndani ya moyo uliotubu na kunyenyekea ilikufufua mioyo yao watakatifu (Isaya 57:15)

Ndo maana Muumba alisema atatukomboa na mauti na kaburi tukiwa hai,ukisoma (hosea 13:14) na

1Korintho 15:51
Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala(kufa) sote, lakini sote tutabadilika,
 
Sadaka kiuhalisia maana yake ni kafara, ndo maana mlokole anaetoa sadaka madhabahuni ya fedha hawezi shindana na anaetoa sadaka ya damu madhabahuni.

Ila hilo halikuwa kusudi la Muumba.Kusudi ni yeye kupokea matunda ambayo ni mema tu sio kafara hapo ndipo udhihirisho na utofauti kati ya majira ya Nuru na Giza pia huonekana.kuna mistari mingi inaelezea matunda katika kitabu(biblia) ila kwa uchache soma.(Mathayo 21:33-43)

Matunda hayatokani na kumtoa mwengine kafara au mnyama ndipo upate baraka ama utajiri.
 
Ndio maana papa anasema watu waowane jinsia moja anasema ni maandiko kutoka kwa bwana.
 
Kuna Vitu ambavyo Kumweleza Mtu mwingine Huwa Ni ngumu sana hasa Kama Vinaharibu mzizi ya Dini yote..

Kwa Mfano Umwambie Myahudi ,mkristo na Muislam Kuwa Misa hakuwahi kuwepo Duniani Ile story ya Misa Ni coded Language unafikiri Hujaharibu imani zao
Mtu wa dini ukimwambia Adam na Hawa ni Lugha picha hamwezi kuelewana hata kidogo
sanasana atakuambia lete andiko
 
Niongee machache kuhusu vitabu vya dini.

Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism)

Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu.

Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi.

Tanakh ni Biblia ya Kiyahudi iliyogawanyika katika vipengele vitatu (Torah, Nevi'im na Ketuvim)
Torah ni vile vitabu vitano vya Musa (Kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Leviticus, Numbers na Deuteronomy) wenyewe wanaita 'Pentateuch'
Nevi'im ni maandiko ya manabii na Ketuvism ni maandiko ya Zaburi na mengineyo.

Quran Tukufu pia imerudia kwa kuhariri kidogo tu maandiko ya Torah, Nevi'im na Ketuvim pamoja na Evangél (Injili)

Ndio kusema vitabu vyote vitatu vya dini kubwa duniani vinafanana katika mengi na kutofautiana katika machache.

Biblia ya Wakristo imenukuu mengi kutoka kwenye Tanakh na kisha kuongezea maandishi mengine mengi ya Wakaldayo, Wakushi (kemet au Misri ya kale), Wamesopotamia, Wasumeri na Warumi.

Ndio kusema Biblia ndiyo Kitabu chenye siri nyingi zaidi hadi sasa pengine kuliko vitabu vingine vingi vya elimu ya siri (esoteric knowledge)

Lakini, hii Biblia ambayo kila mtu anayo imehaririwa zaidi ya mara 10, kuna vitu vimeongezwa na vingine kupunguzwa.
Ndio maana kwenye Theology kuna vitabu tunaambiwa ni THE LOST BOOKS (vitabu vilivyopotea) na THE STOLEN BOOKS (vitabu vilivyoibiwa)

Niliwahi kuhoji, kama kuna vitabu vinajulikana kwamba viliibiwa, NANI ALIVIIBA na kama kuna vitabu vilivyopotea NI NANI ALIVIPOTEZA?

Na ni vitabu gani?

Na kwa nini viibiwe na vipotee?

Sikupata majibu wakati huo kutoka kwa Waalimu wangu wa Theology.
Nilikuja kupata majibu sahihi wakati nikiwa kwenye safari hii ya utambuzi.

Lakini, ninachotaka kusema ni kwamba BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi sana vyenye elimu kale, elimu ya siri na iliyowasilishwa kwa lugha ya mafumbo.

Ni mpaka uwe umeangaziwa ufahamu wako (enlightened) ndipo utakapoweza kutambua mafumbo yaliyomo kwenye maandishi ya kwenye Biblia.

Idadi kubwa ya waalimu wa Biblia, wakiwemo wachungaji hawana uwezo wa kufumbua hayo mafumbo, wanasoma na kufundisha kama yalivyo na ndio maana wafuasi wao wanafanya tu kuyakariri na hawapati matokeo.
Ni waalimu wachache sana wa Biblia wenye ufahamu wa kuvunja hiyo mihuri (kufumbua hayo mafumbo) na hawawezi kuyaeleza hayo hadharani.

Kwa hiyo ni muhimu kuzingatia hilo.

Mimi nimesoma Biblia mara nyingi zaidi kuliko Kitabu kingine chochote na nimekuja kugundua Elimu zote za siri zimo ndani ya Biblia ila 'hazioenekani' kwa urahisi.

Nina Biblia tofauti tofauti 8 na zote zimeandika siri nyingi sana ambazo zipo pia kwenye masomo yote ya kiroho na kwenye jumuiya za siri.

Wale waliokwisha fika level 3 kule Illuminant na Freemasonry watakubaliana nami kwamba huwezi kupata 'badge' ya mwanajumuhia bila kufaulu kuvunja angalau ¼ ya codes zilizomo kwenye Biblia na Biblia ndio Kitabu Kikuu kwa wanafunzi wote chipukizi wa hizi Secret socities nyingi.

Biblia zipo makanisani, misikitini, mahekaluni hadi vilingeni.
Gland Lodges zote kuna Biblia za kila aina huko.

Kwa hiyo, msichukulie kawaida hiki Kitabu.

Nitarejea . . .
Ukiisoma BIBLIA katika Kona ya kutafuta Mianya yake, utaishia kujitia Upuuzi wako mwenyewe..


Biblía haikuandikwa na wakalidayo Wala Cha bibi yake mkalidayi Wala Mmisiri .


Biblía Ina Vitabu Jumla 66, vilivyoandikwa na Waandishi 40.

Na hawakuandika Kwa Fikra zao wenyewe, Bali waliandika Kwa maono kutoka Kwa Mungu na Yale waliyokua wanayashuhudia.

Waandishi hao Baada ya Kuvuviwa waliandika Kwa Lugha zao Mama kikiwemo Kiebrania .


Kwa mfano, Again Jipya, limeandikwa na wanafunzi mitume wa YESU.... Wewe unaanzaje kusema ni wamisiri na wakalidayo??.


Agano la Kale ,Akina Mussa , Isaya, Ayubu,, wee unasemaje ni Wakalidayo?¿.


ACHA UONGO WAKO MTOA MADA.
 
YouTube Pana mtu msearch anaitwa Iman Mcimbwa anafunua siri nyingi na kuchambua vitabu vingi vilivyofichwa.
Unaweza ukaokota kitu kuhusu maandiko na codes zingine elimu ni bahari tuendelee kujifunza
 
'Amuhurumiae masikini anamkopesha Bwana nae atamlipa zaidi"
Hii ni codes ya ukitaka kuwa tajiri ndio wazungu uitumia sana kutengeneza utajiri kwa kutoa misaaada ili kuvuna baraka zetu.
Trump kaja kutustua tuache upumbavu wa kuamini misaaada tutakuwa masikini milele.
Si kwamba wanatupenda sana au wao wamemaliza shida hapana wanacheza na siri.
Ipo nguvu kwenye kutoa.
Unakuta Mkristo anatandikwa na umasikini huku kashika silaha ya kuushinda umasikini shida ni kutoyaelewa maandiko
 
Back
Top Bottom