Ukipata bahati ya kusoma kuhusu Taoism na Confucianism utagundua kuwa Biblia, Quran na Tanakh ni copy and paste!Niongee machache kuhusu vitabu vya dini.
Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism)
Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu.
Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi.
Tanakh ni Biblia ya Kiyahudi iliyogawanyika katika vipengele vitatu (Torah, Nevi'im na Ketuvim)
Torah ni vile vitabu vitano vya Musa (Kitabu cha Mwanzo, Kutoka, Leviticus, Numbers na Deuteronomy) wenyewe wanaita 'Pentateuch'
Nevi'im ni maandiko ya manabii na Ketuvism ni maandiko ya Zaburi na mengineyo.
Quran Tukufu pia imerudia kwa kuhariri kidogo tu maandiko ya Torah, Nevi'im na Ketuvim pamoja na Evangél (Injili)
Ndio kusema vitabu vyote vitatu vya dini kubwa duniani vinafanana katika mengi na kutofautiana katika machache.
Biblia ya Wakristo imenukuu mengi kutoka kwenye Tanakh na kisha kuongezea maandishi mengine mengi ya Wakaldayo, Wakushi (kemet au Misri ya kale), Wamesopotamia, Wasumeri na Warumi.
Ndio kusema Biblia ndiyo Kitabu chenye siri nyingi zaidi hadi sasa pengine kuliko vitabu vingine vingi vya elimu ya siri (esoteric knowledge)
Lakini, hii Biblia ambayo kila mtu anayo imehaririwa zaidi ya mara 10, kuna vitu vimeongezwa na vingine kupunguzwa.
Ndio maana kwenye Theology kuna vitabu tunaambiwa ni THE LOST BOOKS (vitabu vilivyopotea) na THE STOLEN BOOKS (vitabu vilivyoibiwa)
Niliwahi kuhoji, kama kuna vitabu vinajulikana kwamba viliibiwa, NANI ALIVIIBA na kama kuna vitabu vilivyopotea NI NANI ALIVIPOTEZA?
Na ni vitabu gani?
Na kwa nini viibiwe na vipotee?
Sikupata majibu wakati huo kutoka kwa Waalimu wangu wa Theology.
Nilikuja kupata majibu sahihi wakati nikiwa kwenye safari hii ya utambuzi.
Lakini, ninachotaka kusema ni kwamba BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi sana vyenye elimu kale, elimu ya siri na iliyowasilishwa kwa lugha ya mafumbo.
Ni mpaka uwe umeangaziwa ufahamu wako (enlightened) ndipo utakapoweza kutambua mafumbo yaliyomo kwenye maandishi ya kwenye Biblia.
Idadi kubwa ya waalimu wa Biblia, wakiwemo wachungaji hawana uwezo wa kufumbua hayo mafumbo, wanasoma na kufundisha kama yalivyo na ndio maana wafuasi wao wanafanya tu kuyakariri na hawapati matokeo.
Ni waalimu wachache sana wa Biblia wenye ufahamu wa kuvunja hiyo mihuri (kufumbua hayo mafumbo) na hawawezi kuyaeleza hayo hadharani.
Kwa hiyo ni muhimu kuzingatia hilo.
Mimi nimesoma Biblia mara nyingi zaidi kuliko Kitabu kingine chochote na nimekuja kugundua Elimu zote za siri zimo ndani ya Biblia ila 'hazioenekani' kwa urahisi.
Nina Biblia tofauti tofauti 8 na zote zimeandika siri nyingi sana ambazo zipo pia kwenye masomo yote ya kiroho na kwenye jumuiya za siri.
Wale waliokwisha fika level 3 kule Illuminant na Freemasonry watakubaliana nami kwamba huwezi kupata 'badge' ya mwanajumuhia bila kufaulu kuvunja angalau ¼ ya codes zilizomo kwenye Biblia na Biblia ndio Kitabu Kikuu kwa wanafunzi wote chipukizi wa hizi Secret socities nyingi.
Biblia zipo makanisani, misikitini, mahekaluni hadi vilingeni.
Gland Lodges zote kuna Biblia za kila aina huko.
Kwa hiyo, msichukulie kawaida hiki Kitabu.
Nitarejea . . .
Vitabu vyote vimecopiana vinaingilia wanabadili tu terminology wengine wanaita Asili, Chanzo, Mungu ukideep ni maana moja tu.Ukipata bahati ya kusoma kuhusu Taoism na Confucianism utagundua kuwa Biblia, Quran na Tanakh ni copy and paste!
Fungua codesUna
Una hoja ndugu, usikilizwe..!
ASANTE SANA MKUU, MM NIMEAMUA KUKAA KIMYA KUKWEPA MATUSI YA WANATHEOLOJIA NGAZI YA 2 NA YA 3Maandiko yote ya dini zote ni story za Abunuasi.
shrud of turin siyo?Hiyo mbn code nyepesi sana
Maaana ake shtuka mwanateolojia utapigwa kweupeee kama kitambaa Cha sanda,
Ungekuwa unakataa hivi hivi hata ukiletewa zile stories za mudi ningekuona wa maana sana,....sasa unakataa hizi, ukiletewa za mudi hata ziwe dhaifu kiasi gani we unaunga mkono. Kiufupi we ni empty tu kichwani.Hizo ni stori za abunawasi hamna uthibitisho wowote, Watu wanajenga theories na imaginations za dini bila kuleta uthibitisho.
Mkuu sijakuelewa mudi ni nani huyu mwenye stori?Ungekuwa unakataa hivi hivi hata ukiletewa zile stories za mudi ningekuona wa maana sana,....sasa unakataa hizi, ukiletewa za mudi hata ziwe dhaifu kiasi gani we unaunga mkono. Kiufupi we ni empty tu kichwani.
Usisahau Kuhusu Miaka ya Crucifixation ni 33,Yesu alikuwa na mitume 12,alikufa saa 9 alasiri, siku ya 3 akafufuka,alisulubiwa na wezi wawili akawa wa 3,alihudumu kwa miaka 3,alikufa akiwa na miaka 33, alianza huduma akiwa na miaka 30.
Mara ya mwisho kuonekana akiwa na miaka 12 hekaluni then akapotea kwa miaka 18 upati habari zake kwenye Biblia hadi alipofika miaka 30.
So why namba 3 number 3 Ina codes gani why mipangilio yake ni tatu tatu ukizijumlisha hizo number.
Kuna Vitu ambavyo Kumweleza Mtu mwingine Huwa Ni ngumu sana hasa Kama Vinaharibu mzizi ya Dini yote..Kuna muda ni bora ubaki uamini kile unachokiamini.
Kuna watu waliopitia matatizo makubwa na wakapona kupitia biblia na Quran hawa huwambii kitu kuhusu imani.
Lakin wale ambao hawajapitia matatizo na kukimbilia huko wana imani ndogo sana.
Lakini swali la kujiuliza kwanini wale waliosoma mpka elimu ya juu kuhusu imani (theolojia) kwanini washindwe kung'amua hizo codes ili waweze kusema ukweli?
Tell us more about this please! Hakika Kwa jinsi vifo vya haraka haraka vilivoongezeka nidhahiri majira yamebadilika. Lango la kuzimu lipo wazi na watu wanatumia kujinufaisha binafsi nakuangamiza wengine. Je! Nikwanamna Gani raia wakawaida watajilinda?Wengi walaikuwa hawajui kwamba msingi ya dunia na ulimwengu imo kwenye kitabu(biblia) hata uchawi mbaya kuliko wote ni uchawi wa neno.matrix wengi wanayozungumza imechongwa humo.
Fumbo kubwa la imani lilopo kwenye kitabu (biblia) limeshafumbuliwa na sasa majira imebadilika kutoka majira ya giza (darkness) ambapo iliufanikiwe lazma ukanyage mabega ya wengne (either kafara au nyota) na kuingia majira ya nuru ya Muumba ambapo yenyewe ni SAUTI YAKE.
Unaelewa maana ya wiseman? Wiseman ni wachawi na Astrologist.Maandiko ni kwa ajili ya wiseman na sio layman
Usomaji nyota sio uchawi ni kutaka kuyajua yaliyo ya sirini.Unaelewa maana ya wiseman? Wiseman ni wachawi na Astrologist.
Wa level ya chini hamuwezi elewa vitabu hivi vilivyobeba Siri ya ulimwenguHivyo vyote ni vitabu vya kitapeli
Sasa hao ndio Wiseman kwa kingereza cha Oxford.Usomaji nyota sio uchawi ni kutaka kuyajua yaliyo ya sirini.
Tunajifunza hizi elimu ili tuzitumie kwenye positive way.
Huwezi kupambana na matatizo bila kujua kiini chanzo cha matatizo