Biggie alikua tayari yupo kwenye limelight... Jigga at that time alikua bado UGWakiwa underground sio?
Nimekupata.Biggie alikua tayari yupo kwenye limelight... Jigga at that time alikua bado UG
100Basi kuna nyimbo ya pac niliielewa vibaya.
Mtetea haki za wanyonge km MKULU [emoji12]Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge
Kama una swali niulize
Oh, unajua pac alimkuta Dre deathrow. Kabla hawajatibuana ndio walifanya kazi pamoja. Pac alimchukia Dre kwasababu ya ishu ya Snoop dogg. Kama unakumbuka ile trial ya snoop ya mauaji. Kipindi cha kesi Dre alijidistance na snoop na ukizingatia alikua homeboy wake. Pac felt Dre wasn't loyal to his friend, ndio akaamua kumdiss. Kama unavyojua pac was always straight forward.Ivi pac aliwezaje kufanya kazi na dre? wakati alikua anamuita gay kwenye taracks kibao kama toss it up, na my block?
Ni kweli Mfano John Kenedy alikua against Banking system ambayo inawafanya watu wawe na maisha magumu... Wanao run banks ni Jews unategemea nini hapo. Kuna maraisi wawili wengine walikua wahanga wa hii kitu Lincoln na mmoja jina limenitoka.Si ndo kama kifo cha John F kenedy!
[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana mkuu pac is pac na Mr 2 ni 2proud au Sugu au mheshimiwa Joseph*(Sina uhakika kama ndio jina lake la kwanza) Mbilinyi mbunge wa mbeya.eti 2 PAC ndio Mr 2
acha zako Mr 2 ndio 2 PAC....huoni hiyo imetokea kotekote[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana mkuu pac is pac na Mr 2 ni 2proud au Sugu au mheshimiwa Joseph*(Sina uhakika kama ndio jina lake la kwanza) Mbilinyi mbunge wa mbeya.
Pamoja mkuu, wamarekani wabaya sana ndo maana sishangai hata obama kutowasapoti waafrika wenzie na pengine kuwaua kabisa kama akina gadafi.Ni kweli Mfano John Kenedy alikua against Banking system ambayo inawafanya watu wawe na maisha magumu... Wanao run banks ni Jews unategemea nini hapo. Kuna maraisi wawili wengine walikua wahanga wa hii kitu Lincoln na mmoja jina limenitoka.
Kwa pac hata kama hakua against hayo directly Kuna kitu kilichochea yeye kuondolewa. Alikua analeta consciousness kwenye jamii... Pac aliamini kua "the most dangerous weapon, is an educated black man" so alitumia mziki wake kumpa mtu mweusi awareness. Hii kitu ilisababisha aondolewe.
Obama anampenda Pac na amemtaja several times. Na hata nyimbo ya changes ilimu inspire Obama kutumia neno "Change" kama moja ya slogan zake kipindi cha uchaguzi 2008.Hivi kwanini Obama hampend 2pac
Maana yeye humsifia bob marley tu
Absolutely jamaa alikua havungi ukileta habari za upuuzi anakuchana live.Oh, unajua pac alimkuta Dre deathrow. Kabla hawajatibuana ndio walifanya kazi pamoja. Pac alimchukia Dre kwasababu ya ishu ya Snoop dogg. Kama unakumbuka ile trial ya snoop ya mauaji. Kipindi cha kesi Dre alijidistance na snoop na ukizingatia alikua homeboy wake. Pac felt Dre wasn't loyal to his friend, ndio akaamua kumdiss. Kama unavyojua pac was always straight forward.
This is my phone ringtone all day. You are appreciated.And even though, I act crazy...
I gotta thank the Lord that you made me...
There are no words that can express how I feel...
You never kept a secret, always stayed real...
And I appreciate how you raised me...
And all the extra love that you gave me...
Maneno makubwa sana hapo juu
Hii ni identity yake. Matter of fact ni kwamba. Kutoboa pua kwa pac ni kitu ambacho hakikeri na Inaonekana ni kawaida sana. Pili kuna somo nahisi umelipata. Pac tunaona ni mtu ambaye anajadiliwa kwa mengi ya matendo yake ila si kwa muonekano wake. Hii ina maana when you DO anything , do with HEART. Hopefully you got me bro.Kitu kimoja wengi wanakwepa kukijadili ni kutoga kwake pua kama binti wa pwani
Akina Roca fella hao ni wamiliki wa mabenki mengi duniani. Hata Ile propaganda ya Hitler ili kua kwasababu hiyo hiyo. Alipiga marufuku benki za hawa Jamaa ujerumani akaanzisha pesa yake wanainchi wake wakapata nafuu ya maisha look what happened baada ya hapo.Pamoja mkuu, wamarekani wabaya sana ndo maana sishangai hata obama kutowasapoti waafrika wenzie na pengine kuwaua kabisa kama akina gadafi.
Anajua akienda ageist the system maisha hana kama wenzie waliemtangulia.
Jewish ni watu wabaya san. Hata mmarekani analitambua vyema hilo ndio maana wayahudi wengi wako usalama wa taifa, nafasi za kisiasa na teknolojia.
Hapo mmarekani keshaona huyu mtu ni hatari so to solve the problem ni kumfanya rafiki tuu na kumsaidia mambo mengi.
Kuna familia ya wayahudi matajiri toka karne zilizopia inaitwa rothschild naskia ndio backbone ya uchumi wa marekani na mataifa mengine duniani.
Naona hawa ndugu walifanya hujuma kuwauwa lincoln na kenedy sababu walikua agaist the system. Unajua hawa marais walikua wanabusara sana na walikua hawapendi unyonyaji.
Kama sio busara za kenedy ungekua vita moja mbaya sana hapa duniani imetokea kati ya cuba wakipewa sapoti na urusi Vs marekani.
Ila kwa busara zake alikua mdogo tuu mambo yakaisha.
Obama anampenda Pac na amemtaja several times. Na hata nyimbo ya changes ilimu inspire Obama kutumia neno "Change" kama moja ya slogan zake kipindi cha uchaguzi 2008.
Nice hommie
1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta!
2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon "F*ck you!" alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea
3.kinywaji alichokipenda zaid tupac kilikuwa Fanta orange. Alishawahi kuwafukuza badhi ya wafuasi wake nyumbani kwake kwa sababu eti walikuwa wanammalizia soda zake!
4.Akiwa mtoto mdogo akimkosea mama yake, alikuwa akipewa gazeti la new york times alisome mbele ya mama yake!
5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa "west coast", cha kushangaza ni kwamba, tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!
6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!
7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!
8.Aliandika wimbo wa dear mama akiwa jela. mama yake alishawahi kufungwa jela pia!
9.Kwenye wimbo wake wa "me and my girlfriend" anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana
10.Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwani mama yake alifungwa akiwa na ujauzito wa tupac. Alifungwa kwa tuhuma za ulipuaji wa mabomu na makosa kadhaa ya jinai!
haitwi Tupac OMAR Shakur bali Tupac AMARU Shakur
BUT KUNA KA UKWELI KUHUSU DRE NA CULT ZA ILLIMINT KUHUSU GAY....MANY SAID THAT DRE USED TO *****HOMOSEXUAL GUYS BACK THEN. NDIO MAANA ILLUMI WAKAMPA MAFANIKIO UYAONAYO SASA. AND PAC KNEW THIS BUT KWAKUWA ALIKUWA MSELA ALIKUWA ANANYAMAZA BUT AFTER SNOOP ISSUE NDO IKABIDI AMCHANE...JUST CHECK SYMBOL YA (BEATS BY DRE) NI 6 NUMBEROh, unajua pac alimkuta Dre deathrow. Kabla hawajatibuana ndio walifanya kazi pamoja. Pac alimchukia Dre kwasababu ya ishu ya Snoop dogg. Kama unakumbuka ile trial ya snoop ya mauaji. Kipindi cha kesi Dre alijidistance na snoop na ukizingatia alikua homeboy wake. Pac felt Dre wasn't loyal to his friend, ndio akaamua kumdiss. Kama unavyojua pac was always straight forward.