Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Ivi pac aliwezaje kufanya kazi na dre? wakati alikua anamuita gay kwenye taracks kibao kama toss it up, na my block?
Oh, unajua pac alimkuta Dre deathrow. Kabla hawajatibuana ndio walifanya kazi pamoja. Pac alimchukia Dre kwasababu ya ishu ya Snoop dogg. Kama unakumbuka ile trial ya snoop ya mauaji. Kipindi cha kesi Dre alijidistance na snoop na ukizingatia alikua homeboy wake. Pac felt Dre wasn't loyal to his friend, ndio akaamua kumdiss. Kama unavyojua pac was always straight forward.
 
Si ndo kama kifo cha John F kenedy!
Ni kweli Mfano John Kenedy alikua against Banking system ambayo inawafanya watu wawe na maisha magumu... Wanao run banks ni Jews unategemea nini hapo. Kuna maraisi wawili wengine walikua wahanga wa hii kitu Lincoln na mmoja jina limenitoka.
Kwa pac hata kama hakua against hayo directly Kuna kitu kilichochea yeye kuondolewa. Alikua analeta consciousness kwenye jamii... Pac aliamini kua "the most dangerous weapon, is an educated black man" so alitumia mziki wake kumpa mtu mweusi awareness. Hii kitu ilisababisha aondolewe.
 
eti 2 PAC ndio Mr 2
[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana mkuu pac is pac na Mr 2 ni 2proud au Sugu au mheshimiwa Joseph*(Sina uhakika kama ndio jina lake la kwanza) Mbilinyi mbunge wa mbeya.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana mkuu pac is pac na Mr 2 ni 2proud au Sugu au mheshimiwa Joseph*(Sina uhakika kama ndio jina lake la kwanza) Mbilinyi mbunge wa mbeya.
acha zako Mr 2 ndio 2 PAC....huoni hiyo imetokea kotekote
 
Ni kweli Mfano John Kenedy alikua against Banking system ambayo inawafanya watu wawe na maisha magumu... Wanao run banks ni Jews unategemea nini hapo. Kuna maraisi wawili wengine walikua wahanga wa hii kitu Lincoln na mmoja jina limenitoka.
Kwa pac hata kama hakua against hayo directly Kuna kitu kilichochea yeye kuondolewa. Alikua analeta consciousness kwenye jamii... Pac aliamini kua "the most dangerous weapon, is an educated black man" so alitumia mziki wake kumpa mtu mweusi awareness. Hii kitu ilisababisha aondolewe.
Pamoja mkuu, wamarekani wabaya sana ndo maana sishangai hata obama kutowasapoti waafrika wenzie na pengine kuwaua kabisa kama akina gadafi.
Anajua akienda ageist the system maisha hana kama wenzie waliemtangulia.
Jewish ni watu wabaya san. Hata mmarekani analitambua vyema hilo ndio maana wayahudi wengi wako usalama wa taifa, nafasi za kisiasa na teknolojia.
Hapo mmarekani keshaona huyu mtu ni hatari so to solve the problem ni kumfanya rafiki tuu na kumsaidia mambo mengi.
Kuna familia ya wayahudi matajiri toka karne zilizopia inaitwa rothschild naskia ndio backbone ya uchumi wa marekani na mataifa mengine duniani.
Naona hawa ndugu walifanya hujuma kuwauwa lincoln na kenedy sababu walikua agaist the system. Unajua hawa marais walikua wanabusara sana na walikua hawapendi unyonyaji.
Kama sio busara za kenedy ungekua vita moja mbaya sana hapa duniani imetokea kati ya cuba wakipewa sapoti na urusi Vs marekani.
Ila kwa busara zake alikua mdogo tuu mambo yakaisha.
 
Oh, unajua pac alimkuta Dre deathrow. Kabla hawajatibuana ndio walifanya kazi pamoja. Pac alimchukia Dre kwasababu ya ishu ya Snoop dogg. Kama unakumbuka ile trial ya snoop ya mauaji. Kipindi cha kesi Dre alijidistance na snoop na ukizingatia alikua homeboy wake. Pac felt Dre wasn't loyal to his friend, ndio akaamua kumdiss. Kama unavyojua pac was always straight forward.
Absolutely jamaa alikua havungi ukileta habari za upuuzi anakuchana live.
 
And even though, I act crazy...

I gotta thank the Lord that you made me...

There are no words that can express how I feel...

You never kept a secret, always stayed real...

And I appreciate how you raised me...

And all the extra love that you gave me...

Maneno makubwa sana hapo juu

This is my phone ringtone all day. You are appreciated.
 
Kitu kimoja wengi wanakwepa kukijadili ni kutoga kwake pua kama binti wa pwani
Hii ni identity yake. Matter of fact ni kwamba. Kutoboa pua kwa pac ni kitu ambacho hakikeri na Inaonekana ni kawaida sana. Pili kuna somo nahisi umelipata. Pac tunaona ni mtu ambaye anajadiliwa kwa mengi ya matendo yake ila si kwa muonekano wake. Hii ina maana when you DO anything , do with HEART. Hopefully you got me bro.

Vipi ungepewa jivu uweke ktk joint uambiwe "let's smoke all these joints for our nigga pac"ungekubali?
 
Pamoja mkuu, wamarekani wabaya sana ndo maana sishangai hata obama kutowasapoti waafrika wenzie na pengine kuwaua kabisa kama akina gadafi.
Anajua akienda ageist the system maisha hana kama wenzie waliemtangulia.
Jewish ni watu wabaya san. Hata mmarekani analitambua vyema hilo ndio maana wayahudi wengi wako usalama wa taifa, nafasi za kisiasa na teknolojia.
Hapo mmarekani keshaona huyu mtu ni hatari so to solve the problem ni kumfanya rafiki tuu na kumsaidia mambo mengi.
Kuna familia ya wayahudi matajiri toka karne zilizopia inaitwa rothschild naskia ndio backbone ya uchumi wa marekani na mataifa mengine duniani.
Naona hawa ndugu walifanya hujuma kuwauwa lincoln na kenedy sababu walikua agaist the system. Unajua hawa marais walikua wanabusara sana na walikua hawapendi unyonyaji.
Kama sio busara za kenedy ungekua vita moja mbaya sana hapa duniani imetokea kati ya cuba wakipewa sapoti na urusi Vs marekani.
Ila kwa busara zake alikua mdogo tuu mambo yakaisha.
Akina Roca fella hao ni wamiliki wa mabenki mengi duniani. Hata Ile propaganda ya Hitler ili kua kwasababu hiyo hiyo. Alipiga marufuku benki za hawa Jamaa ujerumani akaanzisha pesa yake wanainchi wake wakapata nafuu ya maisha look what happened baada ya hapo.
Halafu hawa watu ndio wana miliki media(Mfano Disney wanaimiliki wao) ndio maana mambo ya kishenzi wanayapa promo ushoga, mpaka katuni sikuhizi zina porn na homosexuality nk.
Na mtu aneyemiliki media decides nani akae madarakani na nani asikae.
 
Asante mkuu, I knew nothing about it, ila mimi kwenye hotuba zake humsikia nyimbo za bob marley zilimfanyanya apende siasa wakati yupo university

Obama anampenda Pac na amemtaja several times. Na hata nyimbo ya changes ilimu inspire Obama kutumia neno "Change" kama moja ya slogan zake kipindi cha uchaguzi 2008.
 
1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta!

2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon "F*ck you!" alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea

3.kinywaji alichokipenda zaid tupac kilikuwa Fanta orange. Alishawahi kuwafukuza badhi ya wafuasi wake nyumbani kwake kwa sababu eti walikuwa wanammalizia soda zake!

4.Akiwa mtoto mdogo akimkosea mama yake, alikuwa akipewa gazeti la new york times alisome mbele ya mama yake!

5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa "west coast", cha kushangaza ni kwamba, tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!

6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!

7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!

8.Aliandika wimbo wa dear mama akiwa jela. mama yake alishawahi kufungwa jela pia!

9.Kwenye wimbo wake wa "me and my girlfriend" anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana

10.Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwani mama yake alifungwa akiwa na ujauzito wa tupac. Alifungwa kwa tuhuma za ulipuaji wa mabomu na makosa kadhaa ya jinai!
Nice hommie
 
Oh, unajua pac alimkuta Dre deathrow. Kabla hawajatibuana ndio walifanya kazi pamoja. Pac alimchukia Dre kwasababu ya ishu ya Snoop dogg. Kama unakumbuka ile trial ya snoop ya mauaji. Kipindi cha kesi Dre alijidistance na snoop na ukizingatia alikua homeboy wake. Pac felt Dre wasn't loyal to his friend, ndio akaamua kumdiss. Kama unavyojua pac was always straight forward.
BUT KUNA KA UKWELI KUHUSU DRE NA CULT ZA ILLIMINT KUHUSU GAY....MANY SAID THAT DRE USED TO *****HOMOSEXUAL GUYS BACK THEN. NDIO MAANA ILLUMI WAKAMPA MAFANIKIO UYAONAYO SASA. AND PAC KNEW THIS BUT KWAKUWA ALIKUWA MSELA ALIKUWA ANANYAMAZA BUT AFTER SNOOP ISSUE NDO IKABIDI AMCHANE...JUST CHECK SYMBOL YA (BEATS BY DRE) NI 6 NUMBER
 
Back
Top Bottom