Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana mkuu pac is pac na Mr 2 ni 2proud au Sugu au mheshimiwa Joseph*(Sina uhakika kama ndio jina lake la kwanza) Mbilinyi mbunge wa mbeya.
HUYU ALIEULIZA NADHANI KAZALIWA 2000+
 
Kwa #6 ina nini???
 
Pia ile siyo 6 ni b inayowakilisha beats...

Hardwork + Intelligence = Success
Laziness + Boredom = Conspiracy theories
 
Pia ile siyo 6 ni b inayowakilisha beats...

Hardwork + Intelligence = Success
Laziness + Bordom = Conspiracy theories
Unavyoiona kwa upande wako.
U here because u r Tupac fan
Unajua why alitoa KILLUMINAT??
Au nayeye alikuwa lazy kimawazo
 
Pia ile siyo 6 ni b inayowakilisha beats...

Hardwork + Intelligence = Success
Laziness + Bordom = Conspiracy theories
Ukakopy hiyo comment ukasahu kubadilisha hiyo "bordom" alivyokosea nawe ukakosea hvy hvy.
We wadhani why hizo beats by Dre chini zimeandikwa # monster (MNYAMA)
Beats (BEAST)
 
Issue ya Dre na mambo ya kishoga alianzisha marehemu Eazy E hata kwenye nyimbo yake ya "real muthafuckin G's" kamdiss Dre kwa kumwita "she thang".Na kama Easy kamwita hivyo kutakua kuna kaukweli maana walikua wote NWA kwa hiyo anamjua through and through....So inawezekena kuhusu yeye kua illuminati sina uhakika lakini mafanikio yake kuna genius mmoja anaitwa Jimmy ambaye nafikiri ni sound engineer ndiye anamtajirisha Jamaa.
NB 😀re ni overrated na huondoka na sifa ambazo hua hata hastaili.
 
Ukakopy hiyo comment ukasahu kubadilisha hiyo "bordom" alivyokosea nawe ukakosea hvy hvy.
We wadhani why hizo beats by Dre chini zimeandikwa # monster (MNYAMA)
Beats (BEAST)
Whatever bordom or boredom the message is clear.
Kwanini waandike Beats badala ya Beast???
 
You ain't gonna take away the fact that Dre has been a very good producer

The chronic
Detox
 
Kwel
 
Hivi kwanini Obama hampend 2pac
Maana yeye humsifia bob marley tu
Kuna kauli obama aliwahi kusema hampendi tupac, au mawazo yako tuu..

Kusema kuwa anampenda bob haimaanishi kuwa anamchukia pac otherwise awe ametoa kauli, hata mimi nikiulzwa msanii namzimia ntajib pac, lakin haimaanishi namchukia bob, au simpend bob.. Ila kwenye rank zangu niliyemtaja ndio 1 wengine watafata
 
Uzur mchizi hakuwa mtu wa kuzunguruka mbuyu, zingua nikuchane.. Ila dre alizingua kwenye ishu ya snoop..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…