Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana mkuu pac is pac na Mr 2 ni 2proud au Sugu au mheshimiwa Joseph*(Sina uhakika kama ndio jina lake la kwanza) Mbilinyi mbunge wa mbeya.
HUYU ALIEULIZA NADHANI KAZALIWA 2000+
 
BUT KUNA KA UKWELI KUHUSU DRE NA CULT ZA ILLIMINT KUHUSU GAY....MANY SAID THAT DRE USED TO *****HOMOSEXUAL GUYS BACK THEN. NDIO MAANA ILLUMI WAKAMPA MAFANIKIO UYAONAYO SASA. AND PAC KNEW THIS BUT KWAKUWA ALIKUWA MSELA ALIKUWA ANANYAMAZA BUT AFTER SNOOP ISSUE NDO IKABIDI AMCHANE...JUST CHECK SYMBOL YA (BEATS BY DRE) NI 6 NUMBER
Kwa #6 ina nini???
 
Pia ile siyo 6 ni b inayowakilisha beats...

Hardwork + Intelligence = Success
Laziness + Boredom = Conspiracy theories
 
Pia ile siyo 6 ni b inayowakilisha beats...

Hardwork + Intelligence = Success
Laziness + Bordom = Conspiracy theories
Unavyoiona kwa upande wako.
U here because u r Tupac fan
Unajua why alitoa KILLUMINAT??
Au nayeye alikuwa lazy kimawazo
 
Pia ile siyo 6 ni b inayowakilisha beats...

Hardwork + Intelligence = Success
Laziness + Bordom = Conspiracy theories
Ukakopy hiyo comment ukasahu kubadilisha hiyo "bordom" alivyokosea nawe ukakosea hvy hvy.
We wadhani why hizo beats by Dre chini zimeandikwa # monster (MNYAMA)
Beats (BEAST)
 
BUT KUNA KA UKWELI KUHUSU DRE NA CULT ZA ILLIMINT KUHUSU GAY....MANY SAID THAT DRE USED TO *****HOMOSEXUAL GUYS BACK THEN. NDIO MAANA ILLUMI WAKAMPA MAFANIKIO UYAONAYO SASA. AND PAC KNEW THIS BUT KWAKUWA ALIKUWA MSELA ALIKUWA ANANYAMAZA BUT AFTER SNOOP ISSUE NDO IKABIDI AMCHANE...JUST CHECK SYMBOL YA (BEATS BY DRE) NI 6 NUMBER
Issue ya Dre na mambo ya kishoga alianzisha marehemu Eazy E hata kwenye nyimbo yake ya "real muthafuckin G's" kamdiss Dre kwa kumwita "she thang".Na kama Easy kamwita hivyo kutakua kuna kaukweli maana walikua wote NWA kwa hiyo anamjua through and through....So inawezekena kuhusu yeye kua illuminati sina uhakika lakini mafanikio yake kuna genius mmoja anaitwa Jimmy ambaye nafikiri ni sound engineer ndiye anamtajirisha Jamaa.
NB 😀re ni overrated na huondoka na sifa ambazo hua hata hastaili.
 
Ukakopy hiyo comment ukasahu kubadilisha hiyo "bordom" alivyokosea nawe ukakosea hvy hvy.
We wadhani why hizo beats by Dre chini zimeandikwa # monster (MNYAMA)
Beats (BEAST)
Whatever bordom or boredom the message is clear.
Kwanini waandike Beats badala ya Beast???
 
Issue ya Dre na mambo ya kishoga alianzisha marehemu Eazy E hata kwenye nyimbo yake ya "real muthafuckin G's" kamdiss Dre kwa kumwita "she thang".Na kama Easy kamwita hivyo kutakua kuna kaukweli maana walikua wote NWA kwa hiyo anamjua through and through....So inawezekena kuhusu yeye kua illuminati sina uhakika lakini mafanikio yake kuna genius mmoja anaitwa Jimmy ambaye nafikiri ni sound engineer ndiye anamtajirisha Jamaa.
NB 😀re ni overrated na huondoka na sifa ambazo hua hata hastaili.
You ain't gonna take away the fact that Dre has been a very good producer

The chronic
Detox
 
1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta!

2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon "F*ck you!" alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea

3.kinywaji alichokipenda zaid tupac kilikuwa Fanta orange. Alishawahi kuwafukuza badhi ya wafuasi wake nyumbani kwake kwa sababu eti walikuwa wanammalizia soda zake!

4.Akiwa mtoto mdogo akimkosea mama yake, alikuwa akipewa gazeti la new york times alisome mbele ya mama yake!

5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa "west coast", cha kushangaza ni kwamba, tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!

6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!

7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!

8.Aliandika wimbo wa dear mama akiwa jela. mama yake alishawahi kufungwa jela pia!

9.Kwenye wimbo wake wa "me and my girlfriend" anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana

10.Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwani mama yake alifungwa akiwa na ujauzito wa tupac. Alifungwa kwa tuhuma za ulipuaji wa mabomu na makosa kadhaa ya jinai!
Kwel
 
Hivi kwanini Obama hampend 2pac
Maana yeye humsifia bob marley tu
Kuna kauli obama aliwahi kusema hampendi tupac, au mawazo yako tuu..

Kusema kuwa anampenda bob haimaanishi kuwa anamchukia pac otherwise awe ametoa kauli, hata mimi nikiulzwa msanii namzimia ntajib pac, lakin haimaanishi namchukia bob, au simpend bob.. Ila kwenye rank zangu niliyemtaja ndio 1 wengine watafata
 
Oh, unajua pac alimkuta Dre deathrow. Kabla hawajatibuana ndio walifanya kazi pamoja. Pac alimchukia Dre kwasababu ya ishu ya Snoop dogg. Kama unakumbuka ile trial ya snoop ya mauaji. Kipindi cha kesi Dre alijidistance na snoop na ukizingatia alikua homeboy wake. Pac felt Dre wasn't loyal to his friend, ndio akaamua kumdiss. Kama unavyojua pac was always straight forward.
Uzur mchizi hakuwa mtu wa kuzunguruka mbuyu, zingua nikuchane.. Ila dre alizingua kwenye ishu ya snoop..
 
Back
Top Bottom