Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Kosa kubwa alilofanya kugonga dem wa mshkaji kisha kuimba na kujisifu katika wimbo wake wa Hit em all, naamini kabisa ndio ilisababisha kifo chake, na kama ni kweli (kwa mujibu wa mawazo yangu) basi alistahili kile kifo
Wala hyo c sababu hyo
 
Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge

Kama una swali niulize
Je kweli kuwa Tupac alikuwa na asili ya Tuareg wa West Africa kama alivyowahi kudai mwenyewe?
 
Je kweli kuwa Tupac alikuwa na asili ya Tuareg wa West Africa kama alivyowahi kudai mwenyewe?
Mkuu Tupac ana Baba wawili,na Baba wa ukweli yupo jela hadi leo baba mlezi na wa ukweli wote ni weusi hakuna mtu mweusi wa marekani ambae hakutoka africa ukiwa na hela unatrace ancestors wako wote unawapat
 
Sikusema watu wote hawajui mdau... nilisema ni wengi, kama humo kati ya hao wengi, sio kesi mkuu (japokuwa najua kuna baadhi ya fact hapo ulikua huzijui na umefurahi kuzijua hata kama hutakubaliana na mimi)

Haa mzee wa Gnc nakuona mkuu!
 
Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge

Kama una swali niulize
Pia alikuwa akitumika katika missions za illuminat[emoji12]
 
2pac amekufa kiukweli na suge hausiki kabisa na kifo chake.....suge alikua bosi wa 2pac,rafiki yake na pia mwajiri wake 2pac alimpenda suge,alifanya nae kazi lakini 2pac hakuwahi kumwamini suge maana anamjua vema
But Suge is a member of a secret society.Na inasemekana alikuwa na mikakati ya siri ambayo mwisho wa siku ilikuja kuvuja kisha 2pac akaanza kutafuta escape ndio maana nyimbo nyingi za mwishoni mwa maisha yake zilikuw zinawiana na siku za kifo chake.
 
Hapo ndio naonaga ubwege wa will smith sijui akisikiaga wimbo wa 2pac huwa anajisikiaje
Ndugu yangu kuna kitu kinaitwa mapenzi.

Mfano, kuna mtu inatokea kuangukia kwenye penzi la Mwanamke Kahaba, huku muhusika (Njemba) akijua fika mpenzi wake anafanya biashara ya kuuza mwili, na wala njemba haina wasi, na hata Mpenzi wake (huyo Kahaba) anapoenda kazini (kwenye biashara zake) anaagana na njemba yake bila wasi.

Ni mambo ya kawaida sana kwenye ulimwengu wa Mapenzi.

Kwahiyo usimlaumu Will, ile kitu hapana chezea kabisa.

Ile kitu inafikia mpaka watu wanauana, hebu fikiria wewe mwenyewe.

Yaani ile kitu?!

Kile kidude ni hatari sana.

Acha tu
 
Namba 4 inshaisaka sana bila mafanikio,je waweza nisaidia namna ya kuipata?
Pole sana Kiongozi.

Nimejaribu kukuchukulia ili niiweke hapa, imeshindikana.

Nafikiri imedhibitiwa kuoneshwa mitandaoni.

Nipe muda nitakutafutia
 
Duh Mkuu ulivyoisifia ile kitu inaonekana wewe ni mpenzi mkubwa wa ile kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…