Ndugu yangu kuna kitu kinaitwa mapenzi.
Mfano, kuna mtu inatokea kuangukia kwenye penzi la Mwanamke Kahaba, huku muhusika (Njemba) akijua fika mpenzi wake anafanya biashara ya kuuza mwili, na wala njemba haina wasi, na hata Mpenzi wake (huyo Kahaba) anapoenda kazini (kwenye biashara zake) anaagana na njemba yake bila wasi.
Ni mambo ya kawaida sana kwenye ulimwengu wa Mapenzi.
Kwahiyo usimlaumu Will, ile kitu hapana chezea kabisa.
Ile kitu inafikia mpaka watu wanauana, hebu fikiria wewe mwenyewe.
Yaani ile kitu?!
Kile kidude ni hatari sana.
Acha tu