The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Sio kweli mie ninavyojua BIG ndio alikuwa kwenye missions hizo 2pac alikuwa anapinga hayo mamboPia alikuwa akitumika katika missions za illuminat[emoji12]
Alirudi kwa kwa hologram. [emoji4]Tuliambiwa atarudi baada Ya miaka 7 sasa mwaka wa 20! Kulikoni?
Utaelewa siku Illuminati watakapoileta copy yake kutoka under world/cloning centre.Sio kweli mie ninavyojua BIG ndio alikuwa kwenye missions hizo 2pac alikuwa anapinga hayo mambo
Nitashukuru sana mkuuPole sana Kiongozi.
Nimejaribu kukukuchukulia ili niiweke hapa, imeshindikana.
Nafikiri imedhibitiwa kuoneshwa mitandaoni.
Nipe muda nitakutafutia
Kiongozi, naomba mimi na wewe tuwe wote wawazi, tuweke mzaha kando.Duh Mkuu ulivyoisifia ile kitu inaonekana wewe ni mpenzi mkubwa wa ile kitu
Watu na wapenzi wao duuuu nipite mbali, vipi mbona ametoga pua au ndo u 2pac wenyewe
Teh teh teh hakuna mwanaume ambae hapendi ile kitu labda awe hajakamilika ila kuna utofauti wa kuipende kuna wengine muda wote wanaiwaza asipoipata hata kwa siku tatu akili haifanyi kazi ila kuna wengine tunaipenda ila sio saaanaKiongozi, naomba mimi na wewe tuwe wote wawazi, tuweke mzaha kando.
Wewe si mpenzi wa ile kitu?
Hapana chezea kabisa ile kitu.
Mimi kwa upande wangu siwezi kukuficha, wala kuzuga, ile kitu kwa kweli naipenda sana
Umemaliza kipindiAsante mdau but hata hilo sio jina lake halisi.. jina lake la kuzaliwa ni Lesane Parish Crooks
Mdogo wangu mbona unaongea kama una pumbu moja!!?we
jamaa una swaga za kike, nlikua nakukubali ila sasa we lafa tuu huna maana, kwanza hio picha ya boy makaveli uitoe hapo profile maana huna ,maana
Ni kweli amechukua jina la mtemi wa ki INCA wenyeji wa asili wa Peruhaitwi Tupac OMAR Shakur bali Tupac AMARU Shakur
WE tuu unasababisha yote haya. wala sina tatizo na wewe.Mdogo wangu mbona unaongea kama una pumbu moja!!?
Tupac alikuwa dini gani mpaka ikaamua maiti yake ichomwe?2pac amekufa kiukweli na suge hausiki kabisa na kifo chake.....suge alikua bosi wa 2pac,rafiki yake na pia mwajiri wake 2pac alimpenda suge,alifanya nae kazi lakini 2pac hakuwahi kumwamini suge maana anamjua vema
Habari zinasema kuwa ni washkaji wa BIG ndio waliomuua Tupac.Nani alimuua?
Hiyo ya filamu ya ngono sio kweli.Mkewe alikuwa anamegwa kisela na 2pac isitoshe mkewe ana maskendo ya ajabu ajabu ikiwemo mpk kucheza picha za ngono
Mkuu upo sahihi ila naomba nkurekebishe kidogo.Habari zinasema kuwa ni washkaji wa BIG ndio waliomuua Tupac.
Ila mpaka leo hii Watu weusi na watafiti wengi wanasema waliomuua ni wazungu ambao hawakufurahishwa na lifestyle ya Tupac.
Tupac ni mkristu unaweza ona baadhi ya picha kavaa rozari, pia bigie alichomwa na alikua mkristu pia.Tupac alikuwa dini gani mpaka ikaamua maiti yake ichomwe?