Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Duh Mkuu ulivyoisifia ile kitu inaonekana wewe ni mpenzi mkubwa wa ile kitu
Kiongozi, naomba mimi na wewe tuwe wote wawazi, tuweke mzaha kando.

Wewe si mpenzi wa ile kitu?

Hapana chezea kabisa ile kitu.

Mimi kwa upande wangu siwezi kukuficha, wala kuzuga, ile kitu kwa kweli naipenda sana
 
Watu na wapenzi wao duuuu nipite mbali, vipi mbona ametoga pua au ndo u 2pac wenyewe
 
Tupac alikuwa huko illuminat. Sema baada ya kurealize kuwa ameingia chocho kama wengine akataka kutoka ndio maana akatoa Kill-iluminat album. But as long as ukiweka deal na devil then lazima ulipe so they took him away. Na watamrudisha for their benefits huko.mbeleni.
Wamemuua pia mama yake kwa kusingziia overdose ya madawa coz mama yake kuna vitu alikataa kwenye movie yake inayokuja ya ALL EYES ON ME
 
Kiongozi, naomba mimi na wewe tuwe wote wawazi, tuweke mzaha kando.

Wewe si mpenzi wa ile kitu?

Hapana chezea kabisa ile kitu.

Mimi kwa upande wangu siwezi kukuficha, wala kuzuga, ile kitu kwa kweli naipenda sana
Teh teh teh hakuna mwanaume ambae hapendi ile kitu labda awe hajakamilika ila kuna utofauti wa kuipende kuna wengine muda wote wanaiwaza asipoipata hata kwa siku tatu akili haifanyi kazi ila kuna wengine tunaipenda ila sio saaana
 
2pac amekufa kiukweli na suge hausiki kabisa na kifo chake.....suge alikua bosi wa 2pac,rafiki yake na pia mwajiri wake 2pac alimpenda suge,alifanya nae kazi lakini 2pac hakuwahi kumwamini suge maana anamjua vema
Tupac alikuwa dini gani mpaka ikaamua maiti yake ichomwe?
 
Habari zinasema kuwa ni washkaji wa BIG ndio waliomuua Tupac.

Ila mpaka leo hii Watu weusi na watafiti wengi wanasema waliomuua ni wazungu ambao hawakufurahishwa na lifestyle ya Tupac.
Mkuu upo sahihi ila naomba nkurekebishe kidogo.
Tupac kipindi anapigwa risasi mara ya kwanza ile 1994 alikwenda studio kwa biggie na p didy kuwasalimia na pia alikua na mpango wa kufanya collaboration album na biggie, ndo naskia mtu alitokea huko akiwa na risasi akitaka kuwa shot sasa pac akamfata ili kumzuia ndo naskia alimmimina hizo shaba na akina biggie na diddy walienda kujicha.
Baada ya pac kumiminwa akawa anajiegemeza kuwafata akina biggi na didy ndo pac akasema aliwakuta wakiwa na hasira na yeye ndio akajua kabisa hawa walikua wamepanga kumuua na hapo ndio chuki ilikua kwa asilimia 100%

Pili hakuna mzungu anaempenda mtu mweusi ikumbukwe pac alikua atamba sana miaka hiyo kushinda hata wazungu so wazungu waliumia sana na hili jambo na naamini kwa kuwatumia CIA na media walifanikisha kuchochea mzozo na pengine kumshot pac.


Tatu pac alimpiga mtu flan kutoka kwenye kundi dogo huko wakati akipiga shoo sasa wale wenzie walisema watalipa kisasi na mtuhumiwa aliepigwa na pac na ni marehemu hata hakukawia.

So mkuu hivyo ni baadhi ya vitu nlivyokuandalia, pian katafute zaidi ujiue kifo cha huyu kijana bora kabisa kutokea duniani.
 
Tupac alikuwa dini gani mpaka ikaamua maiti yake ichomwe?
Tupac ni mkristu unaweza ona baadhi ya picha kavaa rozari, pia bigie alichomwa na alikua mkristu pia.
Kuchomwa ni desturi ya baadhi ya jamii hapa duniani. Hata yule mwanamke alieshinda tuzo ya mazingira kule kenya naskia nae maiti yake ilichomwa.
 
Back
Top Bottom