Sidhani ila alikua anawakilisha east coast. kwenye member wa bad boy sijamwona jay z hata akuhusishwa kwa karibu.Hahaha...BadBoy entertainment hiyo bana
Hivi Jay Z naye alikuwa kundi la kina Puff dady na BIG?
Mbona unaniita mdogo wako sasa?Sasa kosa langu nini, kumjibu mtu kuwa aliyemuuwa tupac ni muuaji, we ylitaka nimjibu vip labda kwa mfano, usiforce ubongo wangu utende sawa na akili yako...
Nimemjibu vile sababu kuu mbili
1. Ni masihara zaid
2. Nikiwa na maana muuaji wa mchizi mpaka leo hii hajajulikana zimebaki story za hapa na pale na wachache kutafta kiki kwa kifo cha mshikaj
Note: siku ukijiona hauko poa, vunga tu man si lazima uingie jf, utaishia kukwazana na watu bure joh..
Hata mie sina tatzo na wewe pia mdogo wangu
I ain't mad at cha
Huyu aliyaona kitambo sana, leo ndio Waamerika wanaanza kumshtukia Trump. Laiti kama wangemsikiliza Tupac sijui kama wangemchagua kuwa miongoni mwa wagombea wa UraisAmesema ukweli mtupu.
Hiyo ndio halisi.
Na hata Nchini mwetu watu wenye uchu tunao, hasa wanasiasa.
Hebu angalia mwenyewe, jitu lina Mabilioni ya Pesa lakini bado linalimbikiza, na halitaki kusaidia hata kidogo kwa wale wanaohitaji msaada, wanasahau ya kuwa kuna baadhi ya Raia wao/zao Mlo mmoja tu unawasumbua, lakini wao hawajali hiyo, wanachojua wao kula bata na kufanya sifa za kibwege, jitu liko tayari life huku likiwa limeacha Mabilioni ya Pesa, kuliko kutoa msaada.
Uchu, Ubinafsi, ni kitu kibaya sana
Kwani dhambi, au nilipokuita mdogo wangu umelazwa I.C.U hapo, haya niite mie basi mdogo wako tuone kama utanenepa..Mbona unaniita mdogo wako sasa?
Naam.Huyu aliyaona kitambo sana, leo ndio Waamerika wanaanza kumshtukia Trump. Laiti kama wangemsikiliza Tupac sijui kama wangemchagua kuwa miongoni mwa wagombea wa Urais
HaswaaNaam.
Hakika Tupac alikuwa si msanii tu, bali ni Mwanaharakati mkubwa sana
Hahaha hata maeneo ya arusha kuna msela aliafariki wakamiminia jeneza lake viroba na bia na wenyewe walikuwa bwiiiDuh! yaani limeniacha hoi hilo la mwili wake kuchomwa na majivu yake yakachanganywa na bangi kisha masela wakalanduka, hao jamaa wanatisha.
aliwahi kuja A frika?Mimi ni fan wa 2pac tokea mwaka 95 ......
Tupac alikua ni rapper
Alikua ni mshairi
Alikua muigizaji
Alikua ni mwanaharakati
Alikua ni mtete haki za wanyonge
Kama una swali niulize
We vp mbona kama umekeleka sana dahhata kama si lake halisi lakini kila mtu anajua ni Amaru na si Omari. Mama yake anajua Amaru na si Omari
Hapana hajawahi ila kama angekuja angeanzia hapa Tz maana baba yake wa ubatizo Geronimo Pratt alikua anaishi Arusha..na pia alifia hapoaliwahi kuja A frika?
No, rumours had that hajawahi kutoka nje ya nchi yake!aliwahi kuja A frika?
EHE HUYO MZEE NI MTANZANIA?Hapana hajawahi ila kama angekuja angeanzia hapa Tz maana baba yake wa ubatizo Geronimo Pratt alikua anaishi Arusha..na pia alifia hapo
1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta!
2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon "F*ck you!" alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea
3.kinywaji alichokipenda zaid tupac kilikuwa Fanta orange. Alishawahi kuwafukuza badhi ya wafuasi wake nyumbani kwake kwa sababu eti walikuwa wanammalizia soda zake!
4.Akiwa mtoto mdogo akimkosea mama yake, alikuwa akipewa gazeti la new york times alisome mbele ya mama yake!
5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa "west coast", cha kushangaza ni kwamba, tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!
6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!
7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!
8.Aliandika wimbo wa dear mama akiwa jela. mama yake alishawahi kufungwa jela pia!
9.Kwenye wimbo wake wa "me and my girlfriend" anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana
10.Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwani mama yake alifungwa akiwa na ujauzito wa tupac. Alifungwa kwa tuhuma za ulipuaji wa mabomu na makosa kadhaa ya jinai!