Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Soon as I get home.

Moja kati ya Vibao vyake ninavyovikubali kupita maelezo.


 
Sasa kosa langu nini, kumjibu mtu kuwa aliyemuuwa tupac ni muuaji, we ylitaka nimjibu vip labda kwa mfano, usiforce ubongo wangu utende sawa na akili yako...
Nimemjibu vile sababu kuu mbili
1. Ni masihara zaid
2. Nikiwa na maana muuaji wa mchizi mpaka leo hii hajajulikana zimebaki story za hapa na pale na wachache kutafta kiki kwa kifo cha mshikaj

Note: siku ukijiona hauko poa, vunga tu man si lazima uingie jf, utaishia kukwazana na watu bure joh..

Hata mie sina tatzo na wewe pia mdogo wangu
I ain't mad at cha
Mbona unaniita mdogo wako sasa?
 
Amesema ukweli mtupu.

Hiyo ndio halisi.

Na hata Nchini mwetu watu wenye uchu tunao, hasa wanasiasa.

Hebu angalia mwenyewe, jitu lina Mabilioni ya Pesa lakini bado linalimbikiza, na halitaki kusaidia hata kidogo kwa wale wanaohitaji msaada, wanasahau ya kuwa kuna baadhi ya Raia wao/zao Mlo mmoja tu unawasumbua, lakini wao hawajali hiyo, wanachojua wao kula bata na kufanya sifa za kibwege, jitu liko tayari life huku likiwa limeacha Mabilioni ya Pesa, kuliko kutoa msaada.

Uchu, Ubinafsi, ni kitu kibaya sana
Huyu aliyaona kitambo sana, leo ndio Waamerika wanaanza kumshtukia Trump. Laiti kama wangemsikiliza Tupac sijui kama wangemchagua kuwa miongoni mwa wagombea wa Urais
 
Mbona unaniita mdogo wako sasa?
Kwani dhambi, au nilipokuita mdogo wangu umelazwa I.C.U hapo, haya niite mie basi mdogo wako tuone kama utanenepa..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] .. Yaan bob una nongwa kama mtoto wa mganga vile
 
Ukiona mtu maarufu sana kwenye nchi kauwawa na muuaji hajakamatwa jua kuwa System ya hiyo nchi imehusika kwa 99%. So ukisoma kitabu cha WHITE PAPER utajua kuwa tupac aliuwawa na CIA....coz tupac alikuwa anataka kuacha rap aingie kwenye siasa na kwa jinsi alivyokuwa maarufu ingewasumbua sana wazungu cz jamaa alikuwa na NYOTA kweli.
Subiri Ni movies yake ALL EYES ON ME 2016 INAACHIWA NOVEMBER KAEKTI JAMAA YUKO KIASI FULANI 99% Wanafanana. Ingia youtube uchek trailer
 
I think itakuwa poa ingawa kuna claims huko USA kuwa illumination wamemuua mama yake tupac ili kupotosha kitu kuhusu tupac kwwne hiyo movie maana kuna vitu alikuwa against kuhusu hiyo movie na Mtu wa karibu ambaye angetakiwa athibitishe Ni JaDA PINKet Smith....ambaye wanasema wameshamnyamzisha so itatoka kama walivyopanga
 
Duh! yaani limeniacha hoi hilo la mwili wake kuchomwa na majivu yake yakachanganywa na bangi kisha masela wakalanduka, hao jamaa wanatisha.
Hahaha hata maeneo ya arusha kuna msela aliafariki wakamiminia jeneza lake viroba na bia na wenyewe walikuwa bwiii
 


1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta!

2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon "F*ck you!" alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea

3.kinywaji alichokipenda zaid tupac kilikuwa Fanta orange. Alishawahi kuwafukuza badhi ya wafuasi wake nyumbani kwake kwa sababu eti walikuwa wanammalizia soda zake!

4.Akiwa mtoto mdogo akimkosea mama yake, alikuwa akipewa gazeti la new york times alisome mbele ya mama yake!

5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa "west coast", cha kushangaza ni kwamba, tupac alizaliwa new york ambako ni east coast!

6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!

7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop!

8.Aliandika wimbo wa dear mama akiwa jela. mama yake alishawahi kufungwa jela pia!

9.Kwenye wimbo wake wa "me and my girlfriend" anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana

10.Alijaribu maisha ya jela kabla hajazaliwa kwani mama yake alifungwa akiwa na ujauzito wa tupac. Alifungwa kwa tuhuma za ulipuaji wa mabomu na makosa kadhaa ya jinai!

Thanks mkuu mimi ni shabiki wa Tupac alipokufa nilisikitika na mpaka leo nasikiliza nyimbo zake kila mara.
 
Back
Top Bottom