Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Hpanana, kuna kipindi pac aliwASEMA VIBAYA WANAOAMINI MAMBO YA GIZA HADI JAY Z AKA KASIRIKA NA MAHUSIANO MABOVU YAKAANZAIA HAPO SABABU JAY Z NI MWAMINI MASHETANI
Feud ya Pac na Jigga ni Jigga alikua anatafuta umaarufu kupitia pac kwa kutia sauti kwenye bifu ya Biggie na Pac. Alikua hajaingia illuminati at that time.
 
Feud ya Pac na Jigga ni Jigga alikua anatafuta umaarufu kupitia pac kwa kutia sauti kwenye bifu ya Biggie na Pac. Alikua hajaingia illuminati at that time.
Ivi pac aliwezaje kufanya kazi na dre? wakati alikua anamuita gay kwenye taracks kibao kama toss it up, na my block?
 
But Suge is a member of a secret society.Na inasemekana alikuwa na mikakati ya siri ambayo mwisho wa siku ilikuja kuvuja kisha 2pac akaanza kutafuta escape ndio maana nyimbo nyingi za mwishoni mwa maisha yake zilikuw zinawiana na siku za kifo chake.
Suge hakua secret society but alikua evil in his own way. Mtu alieogopwa kupita wote kipindi kile kwenye music industry. Jamaa alikua gang related.
 
Ila naona smith angetafuta manzi mwingine tuu, kutembea na demu wa celebrity maarufu na alietangulia mbele ya haki yahitaji moyo. Ngumu kumeza hiyo.
Teh teh teh teh demu mwizi mwizi flan ndio maana jamaa alidata nae ila kwasasa naona demu kaishakubali matokeo kawa mpole
 
wazungu wengi ni maK sana, mi nashangaa sijui watu wanawashobokeaga nini wakati wanaongea shit sana kuhusu black race,i hate them all!!
 
wazungu wengi ni maK sana, mi nashangaa sijui watu wanawashobokeaga nini wakati wanaongea shit sana kuhusu black race,i hate them all!!
Ubaguzi ni mkubwa sana ila lazima wataitambua kazi yetu tuu, martin luther alisema iko siku ataingia rais mweusi ikulu ya marekani na japo kua alikufa kabla ndoto yake haijatimia ila ilikua kutimia baadae.
Hawa wazungu hawana lolote tena, waafrika wengi tumeiteka dunia kwenye tasnia mbalimbali.
Na huwezi amini waafrika ni wana usalama wa hizo taasisi zao za FBI na CIA!
Sasa kama walikua hawatujui ndio watatambua mchango wetu.
 
Absolutely true..
Haingii akilini USA walienda kumfukunyua Saddam Hussein kwenye handaki aliko kua amejificha tena bara jingine lakini wameshindwa kumkamata mtu mmoja huko USA despite all the surveillance.
 
Si ndo kama kifo cha John F kenedy!
 
Then akauwawa Frank Alexander who knew too much. Then akauwawa Johnny J who also knew too much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…