Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Sahihi mkuu asante kwa kunikumbushaWahaya tunayaita Amatomasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi mkuu asante kwa kunikumbushaWahaya tunayaita Amatomasi
Mufindi Iringa pia tunaita matunda damuHaya matunda ni mengi sana huko maeneo ya uwemba njombe na hua tunaita matunda damu.
Ina maana haya matunda kuna sehem wanayaweka kwenye mboga?au kuyachoma na kuyatumia kama mboga?nilikua sijui kabisa.
Hata mimi suyajui😃
Walisema Maxam inatoka Urusi
Masuku, hatari sana😋😋
😁😁😁😁Masuku, hatari sana😋😋
Nimeyala mda sana hadi nimeyamisi aisee☺️☺️😁😁😁😁
Nilikuwa nayapenda mno
Lakini si bado yapo ?Nimeyala mda sana hadi nimeyamisi aisee☺️☺️
Nadhani mashambani huko yatakuwepo, hapa mjini siyaoni hata sokoni hamna... sijui sio msimu wakeLakini si bado yapo ?
Uchagani yanaitwa mabiringanya.