Wengi tulipoambiwa yuko kwa KAZI MAALUM hatukuelewa, ila kwa huu mtiririko hapa chini tutamwelewa vyema aliyetuambia hivyo

we mwenyewe unaelewa ulichokiandika? Kasome mwenyewe
 
Si tulikubaliana kinachokamatwa ni ndege, imekuwaje tena!
 
Utakula ban uanze kulialia, mi nitakuprovok tu ujae afu uataelewa nani kajaa kwa 18 matako wew
wewe hapa ulivyomuita matako ( ukimtusi ) hivi una uhakika akikuripoti hutoadhibiwa kwa hiyo ban unayomuombea yeye apewe? akiwaiteni wapumbavu mnakasirika
 
wewe hapa ulivyomuita matako ( ukimtusi ) hivi una uhakika akikuripoti hutoadhibiwa kwa hiyo ban unayomuombea yeye apewe? akiwaiteni wapumbavu mnakasirika

Pole wala sikufanya uungwana kukuita vivyo,Nisamehe.
 
Haiwezekani mtu akamatwe kama dhamana ya deni. Haiyumkiniki! Wanajamii forum tuwe na uelewa wa haki za binadamu kimataifa. Hata hapa haijawahi kutokea! Kwangu 'kazi maalum na wapi "ilitendeka bado ni Kitendawili chakutegua?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…