Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Je ni kweli kuna nchi moja inaweza ikafilisika mwaka 2024? Au ni uzushi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vikokotoo vya kulipa askari vinasumbua. Unataka tufikirie nini cha zaidiJe ni kweli kuna nchi moja inaweza ikafilisika mwaka 2024? Au ni uzushi tu
Pumbavu.
Ukijaa katika. 18 unapewa tu. Niongeze?Umeanza majibu yako ya kike kike
we mwenyewe unaelewa ulichokiandika? Kasome mwenyeweKAZI MAALUM #1 (ULAYA)
Mwambie Boss wako mwenye Machale ya Kukamatwa nasi atulipe Chetu haraka vinginevyo utakaa huku hata mwaka na Wajukuu zako Wanaokupenda walie mpaka Macho yao yawatumbuke sawa?
KAZI MAALUM #2 (AFRIKA)
Jengo Ndege Tai (JNT) ili kufunika hii Aibu kwa nchi na Taifa na isinichafue na Mimi pia hakikisheni mnatafuta yule anayeaminika Mitandaoni mpeni Fedha nyingi na ahakikishe anazusha ama Ugonjwa au Kifo ili kuhamisha Akili za Malofa wengi zilalie huko na hili la kushikiliwa hadi Deni lilipwe lisijulikane.
KAZI MAALUM #3 (ULAYA na AFRIKA)
Tuwaminye Malofa katika Tozo na Mapato ili tupate Fedha za kulipa Deni na tulimaliza tu Aliyeshikiliwa arejeshwe na akizungumza na Malofa awe ni Mtu wa kutia Huruma na atumie muda mwingi Kusikitika Kuzushiwa huko ili Malofa waendelee Kuamini huko na Waafrika Wachache wenye Akili Kubwa kama akina GENTAMYCINE wasijue au hata Wasishtukie kuwa Deni Kubwa lilimkamatisha Mwandamizi huko Ughaibuni.
Hakika ilikuwa ni KAZI MAALUM hasa.
Hivyo kwakuwa hivi sasa ni mwendo tu wa KAZI MAALUM basi na Mimi GENTAMYCINE naanza KAZI MAALUM ya kuhakikisha akina Medeama FC na Wydad FC wanakufa kwa Mkapa ili Mapacha Wasanii Wawili wafikie Alama 5 kisha nitaendelea na KAZI MAALUM ya kuhakikisha CR Belzoud FC na Juwaneng Galaxy FC nao wanakufa kwa Mkapa ili ninaowapigania wafikishe Alama zao za mwisho 8 kisha waanze Kutamba nazo kwa Kujifariji na kuwaacha akina Al Ahly FC, CR Belzoud FC, Asec Mimosa FC na Wydad FC wakivuka kwenda zao Robo.
Ukijaa katika. 18 unapewa tu. Niongeze?
Ebwana so watoto nyinyi..[emoji3][emoji3]Utakula ban uanze kulialia, mi nitakuprovok tu ujae afu uataelewa nani kajaa kwa 18 matako wew
wewe hapa ulivyomuita matako ( ukimtusi ) hivi una uhakika akikuripoti hutoadhibiwa kwa hiyo ban unayomuombea yeye apewe? akiwaiteni wapumbavu mnakasirikaUtakula ban uanze kulialia, mi nitakuprovok tu ujae afu uataelewa nani kajaa kwa 18 matako wew
wewe hapa ulivyomuita matako ( ukimtusi ) hivi una uhakika akikuripoti hutoadhibiwa kwa hiyo ban unayomuombea yeye apewe? akiwaiteni wapumbavu mnakasirika
Kwani si alipokelewa pale Njia Panda Ulaya?hakua nchi yoyote alikua amefichwa humuhumu Bongo land…