Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

Unaunga mkono hoja gani? Maana kati ya watu wanafiki na waimba mapambio kwenye hiyo awamu, wewe ulikuwa ni mmoja wao.

Na ulikuwa unakera sana pamoja na wale wenzako. Ila ilipoingia awamu ya huyu mama, akili ndiyo zimekukaa sawa. Maana unaonekana hauko kwenye kundi la walamba asali
Binafsi siamini kabisa uadui kwenye siasa

Mimi nafagilia Maendeleo ndio sababu nilimkubali Lowasa na nilimkubali Dr Slaa

Magufuli nilikuja kumkubali baadae Baada ya kumuona ni bonge la " kauzu"

Lowasa alikuwa na uwezo wa kumkemea mtendaji yoyote hadhara I na ndivyo walivyokuwa Magufuli na Dr Slaa

Uzuri ni kwamba sisi tulikuwepo Bavicha inavyoasisiwa pale Kisutu Majamatini kwa mzee Ndesamburo hivyo tunajua tunachokifanya iwe kwa Chadema au CCM

Mungu wa mbinguni akubariki sana usikereke!
 
Uwe na amani Bwashee! Nilikuwa naweka tu kumbukumbu sawa, ya kwamba kati ya wajumbe ambao mlikuwa hamsikii wala kuambiwa kuhusu Rais wa wakati; wewe ulikuwa ni mmoja wao.

Ila kwa Rais wa awamu ya sasa, naona mambo yamekuwa tofauti kabisa. Yaani wewe na Lucas mwashambwa wa awamu hii hamkuwa na tofauti.
 
Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na mtafutano mkali sana baina ya vyombo vya ulinzi vilivyopewa task ya kukamata wana jf hasa wa jukwaa la siasa wanaokosoa serikali...
Sidhani kama serikali yetu ikiamua kupata chochote ikashindwa?

(Kwa member yeyote).

Tuanzie hapo 🌝😄
 
Wajinga ndo walipata shida na matajiri uchwara wanyonyaji na makaburu
 
Uwe na amani Bwashee! Nilikuwa naweka tu kumbukumbu sawa, ya kwamba kati ya wajumbe ambao mlikuwa hamsikii wala kuambiwa kuhusu Rais wa wakati; wewe ulikuwa ni mmoja wao...
Safari hii natumia mbinu mbadala Unajua Mfumo wa mama Samia ni ule tunaita " alalaye usimwamshe..." na Magufuli alikuwa anatumia Mfumo wa Uruguay ya zamani " Buti Buti kipa hadi fowadi"

Siwezi kumuacha mama tuliyeachiwa na Shujaa, mimi ni Yohana ujue na usisahau hilo!
 
Unaunga mkono hoja gani? Maana kati ya watu wanafiki na waimba mapambio kwenye hiyo awamu, wewe ulikuwa ni mmoja wao.

Na ulikuwa unakera sana pamoja na wale wenzako. Ila ilipoingia awamu ya huyu mama, akili ndiyo zimekukaa sawa. Maana unaonekana hauko kwenye kundi la walamba asali
Awepo kwenye kundi la walamba asali wakati alikua mkata mauno wa chato finest
 
Vipi mtu anayetumia wireless na computer? Huo ushurikiano ukiwepo atapatikana?
 
Sidhani kama serikali yetu ikiamua kupata chochote ikashindwa?

(Kwa member yeyote).

Tuanzie hapo [emoji275][emoji1]
Server za jf hazipo hapa bongo .
Mimi nasema alale anapostahili bwana yule .

Mmewasahau watu waliokimbia ID zao lengo likiwa ni kuanza mlengo mpya ili wasijiusishe na siasa .

Daily nasema kama viongozi wote waliopita madarakani wangelikuwa kama bwana yule basi hii nchi ishaharibika siku nyingi na isingekuwa ajabu kuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe
 
Kipindi kile wakosoaji walikuwa wanaitwa wapiga dili na wenye vyeti feki! Hali ilikuwa si hali. Waimba mapambio (MATAGA) walikuwa ndiyo wametamalaki humu jukwaani.

Sasa hivi, wengi wao wamejikatia tamaa baada ya kutoswa kwenye mfumo wa ulaji.
Wamegeuka kuwa Sukuma gang
 
Back
Top Bottom