Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Nimesoma hii mada yako kwa mara ya kwanza kichwa cha habari tu nikacheka sana:
Umewahi kusikia Wakongwe na Wajuzi has a wa muziki wakikuambia kuwa :-
''Lucky dube hakuimba Reggae?'' Ingekuwa vizuri ungewauliza kwanini. Ni hivii
Original Reggae inaitwa Roots reggae, ambayo kuanzia kupiga vyombo, Itikadi na ujumbe unafeel hasaa na kupata elimu, Sweet Reggae ya kina Dube na Senzo imechakachuliwa unachosikia hasa ni ujumbe tu na ipo soft sana.
Btw, Mimi nampenda sana Joseph Hill na nasikiliza nyimbo zake na kuangalia video zake in Culture group karibu kila siku bila kuchoka.
Huwezi kumlinganisha kabisa Lucky Dube hata na Tiken Jah Fakoly leave away Bob Marley, when it comes to Real Reggae.