Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Mnamvunjia sana heshima Robert Nesta Marley kweli mnafananisha na waimba kwaya
Luckydube ni namba nyingine......wengi mmempenda Bob sababu ya Kurithi Story za kuambiwa ni kama Kuwa Mkatoliki wa Kuzaliwa tu.
 
Ungekua msikilizaji mzuri wa reggae ungefahamu Bob Nesta Marley na Luck Dube wanapiga aina tofauti ya reggae nikiwa na maana Bob Marley alipiga Roots Reggae na Lucky Dube alipiga Sweet Reggae.

Katika tasnia ya muziki wa reggae inaonyesha tayari hivyo ni vionjo tofauti vya muziki.

Usifananishe Bob Marley na vitu vya kijinga kabisa

Nasisitiza Bob Marley mfananishe na kina Peter Tosh, Joseph hill, Israel Vibration ana Alpha Blondy halafu huyo Luck Dube mfananishe na kina kin Senzo.

Full Stop
Ofcourse hawafanani kwenye style ya uimbani na hata Melody zao.

Za Bob Marley ni zile ngumu na nyingi hazina utamu.

Za Philip Dube message zake na style zake aisee unajisikia kama uko Madhabahuni.
 
Fanta Moja live in Utrecht, 30 of November, 2023

Luckydube ni namba nyingine......wengi mmempenda Bob sababu ya Kurithi Story za kuambiwa ni kama Kuwa Mkatoliki wa Kuzaliwa tu.
Stori za kurithi vipi wakati nyimbo zake zipo na ziko relevant mpaka leo? Inaonekana we ni mtoto wa juzi tu ndio maana hata hujui kitu. Huyo Lucky Dube hata kwao SA hana relevance kufananisha na Bob. Stans mna shida sana, huwa mnajitoa akili. Halafu mnachanganya mapenzi na relevance. Kama mnampenda Dube haina shida, ni chaguo lenu. Lakini kumweka kwenye mizani na Bob ni upotofu wa hali ya juu.
 
Ofcourse hawafanani kwenye style ya uimbani na hata Melody zao.

Za Bob Marley ni zile ngumu na nyingi hazina utamu.

Za Philip Dube message zake na style zake aisee unajisikia kama uko Madhabahuni.
Bullshit ...
 
Mimi sio mpenzi wa muziki wa Reggae lakini nikimsikiliza Lucky Dube naona kabisa mwamba anajua...
 
Stori za kurithi vipi wakati nyimbo zake zipo na ziko relevant mpaka leo? Inaonekana we ni mtoto wa juzi tu ndio maana hata hujui kitu. Huyo Lucky Dube hata kwao SA hana relevance kufananisha na Bob. Stans mna shida sana, huwa mnajitoa akili. Halafu mnachanganya mapenzi na relevance. Kama mnampenda Dube haina shida, ni chaguo lenu. Lakini kumweka kwenye mizani na Bob ni upotofu wa hali ya juu.
Dube tuna mpenda sababu ya Mziki wake nothing else.
 
Dube tuna mpenda sababu ya Mziki wake nothing else.
Mlitakiwa mseme hivyo basi. Hata mngesema kwamba mnampenda Justin Kalikawe kuliko Bob hakungekuwa na tatizo. Shida inakuja mnaposema eti Lucky Dube ndiye mfalme wa reggae wakati hana impact yoyote hata huko kwao.
 
Wewe ufalme wa mtu unaangalia kwa kuwa yeye ndiye alitangulia Kuimna Reggae au unaangalia viwango?
 
King wa reggae ni bob Marley hiyo aina ubishi hata lucky dube mwenyew role model wake ni Marley ila isiwe kigezo sasa dube alikuwa underdog mmfananishe na waimba kwaya mara taarbu maan ndio muimba reggae ambaye hata wasiopenda reggae wanazo nyimbo zake nje ya kuelimisha na vitu vingn mziki ni burudani pia kwhyo msimu underrated San dube wakuuu
 
Hawa ni Generation Za kina Isaac Gregory. ......Bangi nyingi Melodies kidogo.

Nilikuwa kwenye hii concert huyu mjomba alizingua kishenzi. Yaani watu wanaimba nae, wimbo haujaisha katundika mic anaondoka sijui alibanwa na haja. Watu hawaelewi kinachoendelea concert imeisha. Yaani hata hajaaga.
 
Back
Top Bottom