Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Nimesoma hii mada yako kwa mara ya kwanza kichwa cha habari tu nikacheka sana:

Umewahi kusikia Wakongwe na Wajuzi has a wa muziki wakikuambia kuwa :-

''Lucky dube hakuimba Reggae?'' Ingekuwa vizuri ungewauliza kwanini. Ni hivii

Original Reggae inaitwa Roots reggae, ambayo kuanzia kupiga vyombo, Itikadi na ujumbe unafeel hasaa na kupata elimu, Sweet Reggae ya kina Dube na Senzo imechakachuliwa unachosikia hasa ni ujumbe tu na ipo soft sana.

Btw, Mimi nampenda sana Joseph Hill na nasikiliza nyimbo zake na kuangalia video zake in Culture group karibu kila siku bila kuchoka.

Huwezi kumlinganisha kabisa Lucky Dube hata na Tiken Jah Fakoly leave away Bob Marley, when it comes to Real Reggae.
 
Peace be upon you Rasta...!
 
Usizi...... Lucky Dube hajahusica kabisa ni wimbo wa wapiga vyombo wake (The Slave) na ndio waliouimba .
 
I&I Man!
 
Nakubali mkuu... wengi wanawajua Bob Marley Lucky Dube na Alpha Blond tuu ila kuna wanamuziki wa Reggae kibao wakuwasikiliza na ukapata Hisia za Mbali Sana mfano kina Romeo nk
 
Kwakigezo cha kuusikiliza mziki Lucky Dube hachoshi hasa kwa sisi waafrica maana ana radha ya Muafrica ila kwa uandishi hata yeye Dube anapiga sakute zote kwa Marley..!!
 
Achaneni kulinganisha Bob na waimba kwaya bana afu kuweni na Adabu# IF CORONA KILLS WEED WILL KILL IT.
 
Due hatA hawafikii toots and the metles
 
Hata Mimi huwa namkubali luck dube
 
Marketing na promotion tu. Wamarekani walikuwa behind Bob Marley. Lucky dube hakupata promo kali kama ya bob marley ila kimuziki, lucky dube ana nyimbo nyingi kalia zaidi
 
Watu wanavyo underrate kazi za lucky philip dube wanafanya nnakosa hata cha kuandika
Ni kweli ila Tittle ya Uzi huu ndio inayasababisha hayo... mfalme hua mmoja tuu hilo tulikubali... japo kiukweli wengi wanao mu underrate Lucky Dube ndio wanaozijua nyimbo zake nyingi mpaka kuziimba kuliko za Bob Marley...

Nasikiliza hapa Wimbo wake wa (The One by Lucky Dube) wengi hawaujui maana wamezikalili hit track zake tuu.
 
Kumfananisha marley na dube mkuu,in kama kusifia maji ukidai maji Ya bahari na ziwani yote sawa tuu,bila kupimia upana wake..
 
 
Huna akili na Reggae huijui,nitajie aina za reggae km utaikuta "Kwaya reggae" Unaongea ongea kwa sauti hadi Unaongea ujinga! Niambie "Kwaya reggae" ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…