Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Aise hebu punguza mzaha.Unamfaham bob marley kweli wewe.
 

Na huu ndio ukweli


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm mwenyewe nampenda lucky dube ila kiukwel Robert Nesta Marley is the best sikiliza bad card, Africa unite, no woman no cry, buffalo mbona zna ujumbe mkubwa Sana mkuu Alafu Bob Marley aliimba pure reggae lakin lucky dube hakuimba reggae pure so in terms of reggae Bob Marley is the best is the king is the founder of reggae pure reggae ambayo n chimbuko LA reggae zote
 
senzo is alive son...unaonekani unasikiliza sana story za vilabuni wewe.....
 
Robert Nesta Marley was bad ass...so acha kumfanisha na vitu vya ajabu ajabu...

though Dube was great for some people...
 
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 

jina lako lenyewe tamu tayari..utawezaje kumuelewa legendary sasa....R.I.P BOB..
 
Nampenda sana luck dube ila muziki wao haufanani na wa bob marley vitu viwili tofaut mkuu
 
jina lako lenyewe tamu tayari..utawezaje kumuelewa legendary sasa....R.I.P BOB..
Hahaha kwakweli mkuu.


ila sifurahishwi na baadhi ya mashabiki wa Bob nesta kuonyesha dharau ya waziwazi kwa dube kisa kafananishwa, hio ilikua ni mtazamo wa shabiki kama wanahisi hafanani yapo maneno ya kawaida na fact za kumkosoa mleta mada sio kejeli/dharau haipendezi wakuu
 

mamaa princess ndo maoni ya wadau hayo...wamekerwa na kitendo cha kumfananisha mwana na huyo dogo...huyo dogo mwenyewe amekuwa inspired na Bob halafu leo wanataka kumuita yeye ndo mfalme hiyo mambo duniani....
 
mamaa princess ndo maoni ya wadau hayo...wamekerwa na kitendo cha kumfananisha mwana na huyo dogo...huyo dogo mwenyewe amekuwa inspired na Bob halafu leo wanataka kumuita yeye ndo mfalme hiyo mambo duniani....
Siunaona kama wewe unavyosema mkuu.
Msiwe na mahaba mpaka kudharau wengine kila mtu na mtuwe wapo ambao wanamuona Alpha ni Mkubwa kuliko Bob kila mtu na mtazamo wake..Heshima kwao ifuate mkondo
 
Umemsahau Burning Spear kama sijakosea jina lake, ni moja ya wakongwe Wa roots

Sent using Jamii Forums mobile app
 
senzo is alive son...unaonekani unasikiliza sana story za vilabuni wewe.....
Naelewa, nisome tena alihusishwa na kifo cha Senzo. Senzo hakufa na alikuwa mafichoni. Si ametoka mafichoni baada ya huyu jamaa kufa.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…