Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo album 80% nimekuwa nikizisikiliza ila hakuna niliyoinjoy kama hio ya Babylon by Bus!Chief unafeli wapi? Huwezi kumfananisha Robert Nesta Marley na Lucky Dube hata siku moja. Hata kama Lucky Dube ana nyimbo nzuri sikatai lakini Bob Marley ni habari nyingine kabisa. Kuanzia album ya Catch a fire
Legend
Uprising
Rastaman vibration
Natural mystic
Nutty dread
Rebel music
Babylon by bus
Survival
Soul Rebel
Soul revolution
Burnin
Kaya
Exodus
Talkin blues
Unaweza sema ipi ni album mbaya kati ya hizo au nyimbo ipi ni mbaya ndani ya hizo albums?
Hata Mesi watu wanamkubali sana lakini bado Pele ni mfalme wa soka.Hivyo ni saa na wew kumkubali Lucky Dube lakini Bob Marley bado ni mfalme wa Reggae.
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Mkuu umenikumbusha haoUngekua msikilizaji mzuri wa reggae ungefahamu Bob Nesta Marley na Luck Dube wanapiga aina tofauti ya reggae nikiwa na maana Bob Marley alipiga Roots Reggae na Lucky Dube alipiga Sweet Reggae.
Katika tasnia ya muziki wa reggae inaonyesha tayari hivyo ni vionjo tofauti vya muziki.
Usifananishe Bob Marley na vitu vya kijinga kabisa
Nasisitiza Bob Marley mfananishe na kina Peter Tosh, Joseph hill, Israel Vibration ana Alpha Blondy halafu huyo Luck Dube mfananishe na kina kin Senzo.
Full Stop
Mzee baba uko nondoUngekua msikilizaji mzuri wa reggae ungefahamu Bob Nesta Marley na Luck Dube wanapiga aina tofauti ya reggae nikiwa na maana Bob Marley alipiga Roots Reggae na Lucky Dube alipiga Sweet Reggae.
Katika tasnia ya muziki wa reggae inaonyesha tayari hivyo ni vionjo tofauti vya muziki.
Usifananishe Bob Marley na vitu vya kijinga kabisa
Nasisitiza Bob Marley mfananishe na kina Peter Tosh, Joseph hill, Israel Vibration ana Alpha Blondy halafu huyo Luck Dube mfananishe na kina kin Senzo.
Full Stop
Sipendi kum quote mtoa mada,1. Paragraph ya kwanza tu unaonekana hujui mambo ya kidunia. Aliyeuwawa ni Lucky Dube (kwa risasi) Bob alikufa tu kawaida kwa kansa iliyoanzia kwenye kidole chake cha mguu.
2. Huwezi mlinganisha Lucky Dube na mkongwe Bob. Lucky anaimba na vinanda sana (huwa tunasema nyimbo zake ni kama kwaya) Bob anaimba ile "Roots Rocky Reggae" yenyewe.
3. Kasikilize nyimbo za Bob kama "Jah live" "Jump Nyabinghi" "Roots Rock Reggae" "Chant Down Babylon" "Them Belly Fully" "Bad card" "Concrete Jungle" "Kaya" najua kwa uelewa wako umeishia zile nyimbo common kama "No woman no cry" "Africa Unite" "Zimbabwe"
4. Fanya hayo hapo juu No. 3 halafu uje ufute huu uzi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nilitaka niseme hivyo hivyo Luck Dube ni kiwango cha kalikawe..........Watoto waliozaliwa kipindi cha JK sijuhi wanashida gani utawasikia Messi ni zaidi ya Pele na Maradona .............hivi walishawaona Uruguay na West German walivyokuwa wanacheza miaka hiyo .......... angalau Ronaldo de Lima alikutana na fleva hiyo na ndio maana alikuwa na soka ya maaana lakini hakudumu sana .........Dube ni kiwango Cha Kalikawe
Broo amekufanya umuelewe Bob,hi
Hizo album 80% nimekuwa nikizisikiliza ila hakuna niliyoinjoy kama hio ya Babylon by Bus!
Bro wangu alikuwa anapenda sana reggae za Bob nikajikuta nimefall pia kwa huyo mwamba.
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.
Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.
Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.
Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.
Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.
Sikiliza hizi
Wakina Gregory Issac.Dube ni kiwango Cha Kalikawe
Hahahah nimemshukuru sana kunitambulisha kwa mwambaBroo amekufanya umuelewe Bob,
Uliwai kutoa hata asante kwa broo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app