Alpha Blondy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 304
- 440
hapo umezingua hata kama Bob ni mkubwa, lucky si mdogo kiasi icho cha kufananishwa na kalikawe[emoji22]Dube ni kiwango Cha Kalikawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo umezingua hata kama Bob ni mkubwa, lucky si mdogo kiasi icho cha kufananishwa na kalikawe[emoji22]Dube ni kiwango Cha Kalikawe
Them Belly full1. Paragraph ya kwanza tu unaonekana hujui mambo ya kidunia. Aliyeuwawa ni Lucky Dube (kwa risasi) Bob alikufa tu kawaida kwa kansa iliyoanzia kwenye kidole chake cha mguu.
2. Huwezi mlinganisha Lucky Dube na mkongwe Bob. Lucky anaimba na vinanda sana (huwa tunasema nyimbo zake ni kama kwaya) Bob anaimba ile "Roots Rocky Reggae" yenyewe.
3. Kasikilize nyimbo za Bob kama "Jah live" "Jump Nyabinghi" "Roots Rock Reggae" "Chant Down Babylon" "Them Belly Fully" "Bad card" "Concrete Jungle" "Kaya" najua kwa uelewa wako umeishia zile nyimbo common kama "No woman no cry" "Africa Unite" "Zimbabwe"
4. Fanya hayo hapo juu No. 3 halafu uje ufute huu uzi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
From album "KAYA"
For sure!Sasa Lucky dube kaimba reggae ipi.Make kwenye root hayupo wala kwenye sweet raggae hayupo.Laki dube alikuwa anaimba kwaya kwa mtindo wa raggae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lucky ni sawa na toT taarabhapo umezingua hata kama Bob ni mkubwa, lucky si mdogo kiasi icho cha kufananishwa na kalikawe[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba bro ebu tuonyeshe raggae yako tuone... Kwenye raggae kuna style nyingi za uwimbaji... Sasa lucky anaimba sweet raggae... Bob ni raggae ska & roackstead folk... Then acha kumfananisha lucky na vitu vya ajabu mkuu... Kila mmoja ana test yake kwa music... Na wote niwakali ila wanazidiana nyimbo na nyimboSjawai ona reggae ya lucky dube ni orijino hata sku1 ,,naonaga ni kama nyimbo za kwaya,..yaan hana tofaut na waimba bongo fleva wa bongo wanaojidai wanaimba RnB..hiv RnB wanaijua,hyo waachie kina Usher,rkely na chris brown
Sasa ndo lucky dube,yaan kabisa unafananisha regae ya jamieka na ya africa...
We lazima ni mchaga tuu
Mwambie "Open your heart, uh!Exdous movement of jah people.[emoji445][emoji447][emoji446][emoji448][emoji441].
Kijana umezisikia kweli nyimbo za Bob sawa sawa?
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.
Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.
Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.
Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.
Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.
Sikiliza hizi