claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu ww njemba huwa ni fala flani hv!!?Them Belly full
Jah Live
Hizi nyimbo nilishawahi ombea mkopo
Ila kiujumla namsikiliza sana Dube kuliko Bob
Sent using Jamii Forums mobile app
Luck kaijua Reggae kupitia Robert Nesta marleyAcha ushamba bro ebu tuonyeshe raggae yako tuone... Kwenye raggae kuna style nyingi za uwimbaji... Sasa lucky anaimba sweet raggae... Bob ni raggae ska & roackstead folk... Then acha kumfananisha lucky na vitu vya ajabu mkuu... Kila mmoja ana test yake kwa music... Na wote niwakali ila wanazidiana nyimbo na nyimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dem hanaga makuu comments zake ni mistari miwili tu!! ....
Sawa hamna shida.Alafu ww njemba huwa ni fala flani hv!!?
Old pirates, yes, they rob IMwambie "Open your heart, uh!
And look within
Are you satisfied
With the life you're living?
We know where we're going
We know where we're from
We're leaving Babylon
We're going to the Father's land...[emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Yaani acha tu, kweli asiyejua maana usimwambie maana, then jamaa anamfananisha huyu na Lucky Dube!Old pirates, yes, they rob I
Sold I to the merchant ships
Minutes after they took I
From the bottomless pits
But my hand was made strong
By the hand of the Almighty
We forward in this generation
Triumphantly
Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have
Redemption songs
Redemption songs
Emancipate yourself from mental slavery
None but our self can free our minds
Have no fear for atomic energy
'Cause none of them can stop the time
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look?
Some say it's just a part of it
We've got to fulfill di book
Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever had
Redemption songs
Redemption songs
Redemption songs
Emancipate yourselves from mental slavery
None but ourselves can free our mind
Oh, have no fear for atomic energy
'Cause none of them can stop the time
How long shall dey kill our prophets
While we stand aside and look?
Some say it's just a part of it
We've got to fulfill di book
Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever had
Redemption songs
All I ever had
Redemption songs
These songs of freedom
Songs of freedom
Sent from Tapatalk
1. Paragraph ya kwanza tu unaonekana hujui mambo ya kidunia. Aliyeuwawa ni Lucky Dube (kwa risasi) Bob alikufa tu kawaida kwa kansa iliyoanzia kwenye kidole chake cha mguu.
2. Huwezi mlinganisha Lucky Dube na mkongwe Bob. Lucky anaimba na vinanda sana (huwa tunasema nyimbo zake ni kama kwaya) Bob anaimba ile "Roots Rocky Reggae" yenyewe.
3. Kasikilize nyimbo za Bob kama "Jah live" "Jump Nyabinghi" "Roots Rock Reggae" "Chant Down Babylon" "Them Belly Fully" "Bad card" "Concrete Jungle" "Kaya" najua kwa uelewa wako umeishia zile nyimbo common kama "No woman no cry" "Africa Unite" "Zimbabwe"
4. Fanya hayo hapo juu No. 3 halafu uje ufute huu uzi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.
Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.
Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.
Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.
Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.
Sikiliza hizi
No maoni tu mkuu usiwaze
Mleta uzi kapewa za uso hadi sio poa!Yaani acha tu, kweli asiyejua maana usimwambie maana, then jamaa anamfananisha huyu na Lucky Dube!
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]dube na senzo ni wanamuziki nyimbo zao zinapigwa sana vilabu vya pombe za kienyeji huko mikoani eg mbeya, mwanza, arusha...
mtoa mada yawezekana ni mtu wa huko
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.
Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.
Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.
Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.
Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.
Sikiliza hizi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnamvunjia sana heshima Robert Nesta Marley kweli mnafananisha na waimba kwaya
Hujaisikiliza Babylon By Bus wewe. Tafuta hio album utamjua bob ni mtu wa aina gani!From album "KAYA"
The best Bob's album.
Chief acha utani je nyimbo gani ya Bob ina mashairi magumu na haijasikilizwa sana?Dube hana nyimbo mbayaa
1. Together as one
2. its not easy
3. i ve got you babe
4.prisoner
5. Nobody can stop reggae
6. Remember me
7.......
Bob pia
1. one love
2. no woman no cry
3 .Buffalo soldiers
4.Zimbabwe
5...
hapo ni sawa na kusema mfalme Daudi na mfalme Suleman nani alikua mfalme bora.
ila Dube nyimbo zake zimesikilizwa sana na mashairi yake ni rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na wazungu wanapomuona kama Mandela baba wa Africa wakimuacha Nyerere.Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.