Lucky dune hawezi kumpita bob marley hata akizaliwa tena akae miaka 10000 hamkuti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeenda kusikiliza upya mapini ya marley, ila bado kabisa sijashawishika kumuweka mbele ya Dube, bado kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bhana haya mambo sio yako tuwaachie wenyewe wakongwe.swala la dube kumheshumu bob hata mond hutoa heshima kwa akina gurumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mstari wa mwisho nimeulewa zaidi,Hahaha mie mwenyewe mgumu aise, wote nimeshawasikiliza ila basi tu nimetokea muelewa Lucky Dube kuliko Bob Marley hasa kwa upande wa tunes na beats.
Mie ni shabiki mkubwa wa hip hop na trap (muziki wa watu wagumu), ila kwenye reggae sijui tu kwanini nimejikuta napenda sweet reggae kuliko roots reggae.
Sikuwahi kuwaza kuwa wewe pia ni mgumu!!Hahaha mie mwenyewe mgumu aise, wote nimeshawasikiliza ila basi tu nimetokea muelewa Lucky Dube kuliko Bob Marley hasa kwa upande wa tunes na beats.
Mie ni shabiki mkubwa wa hip hop na trap (muziki wa watu wagumu), ila kwenye reggae sijui tu kwanini nimejikuta napenda sweet reggae kuliko roots reggae.
Duh, mwamba ulivyomaliza ndio nichoka kabisa, kiukweli wachaga na Lucky Dube sijui wana undugu nae...Sjawai ona reggae ya lucky dube ni orijino hata sku1 ,,naonaga ni kama nyimbo za kwaya,..yaan hana tofaut na waimba bongo fleva wa bongo wanaojidai wanaimba RnB..hiv RnB wanaijua,hyo waachie kina Usher,rkely na chris brown
Sasa ndo lucky dube,yaan kabisa unafananisha regae ya jamieka na ya africa...
We lazima ni mchaga tuu
Teh teh, yeah kwenye miziki ya kigumu namo nimo boss.Mstari wa mwisho nimeulewa zaidi,
Btw, nimeshtuka kidogo kusikia mwanamke anashabikia miziki ya kigumu,
Umenifanya niwe interested na wewe.
Hahah maisha tu nayo sometimes ndiyo yanatufanya tunakuwa wagumu kaka
Sawa Sawa,Hahah maisha tu nayo sometimes ndiyo yanatufanya tunakuwa wagumu kaka
Amen AmenSawa Sawa,
Mie naanza maombi yangu maisha yasikufanye mgumu bali tu uwe vile unavyotaka kuwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu sijui wanafikiriaje, huwezi kumfananisha mwanamuziki aliyewika worldwide na mwanamuziki anayefahamika kusini mwa jangwa la Sahara pekee.Acheni kumfananisha ROBERT NESTA na DUBE.
Ukweli ni kua hamwelewi kirahisi maudhui ya nyimbo zake mnataka vitu vyepesi vya Dube,beats za kufanana kila wimbo,beat za kwaya!
Sent using Jamii Forums mobile app