SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui reggae muzik wewe... luck dube na sweat reggae wapi na wapi? Dube anaimba kwaya. Sweetie reggae walikuwa wanaimba UB40 kitambo hiyo sasa muziki wao wale unafanana na wa luck dube? Sweetie reggae inambwa na akina Morgan heritage family, octane,qeen ifrica etc ambawo muziki wenyewe ni tofauti kabisa na reggae aliyokuwa akiimba lucky dube.... lakini aina zote hizo za reggae zimetokana na roots ambayo alikuwa akiimba bob, so kumfanisha bob na dube ni sawa kumfananisha kwenye soka fei toto na johan cruyffAcha ushamba bro ebu tuonyeshe raggae yako tuone... Kwenye raggae kuna style nyingi za uwimbaji... Sasa lucky anaimba sweet raggae... Bob ni raggae ska & roackstead folk... Then acha kumfananisha lucky na vitu vya ajabu mkuu... Kila mmoja ana test yake kwa music... Na wote niwakali ila wanazidiana nyimbo na nyimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
moneymoney pesaDube ni kiwango Cha Kalikawe
Umeenda vizuriUngekua msikilizaji mzuri wa reggae ungefahamu Bob Nesta Marley na Luck Dube wanapiga aina tofauti ya reggae nikiwa na maana Bob Marley alipiga Roots Reggae na Lucky Dube alipiga Sweet Reggae.
Katika tasnia ya muziki wa reggae inaonyesha tayari hivyo ni vionjo tofauti vya muziki.
Usifananishe Bob Marley na vitu vya kijinga kabisa
Nasisitiza Bob Marley mfananishe na kina Peter Tosh, Joseph hill, Israel Vibration ana Alpha Blondy halafu huyo Luck Dube mfananishe na kina kin Senzo.
Full Stop
mziki wa dube una nafasi ya kuishi miaka 100 mbele kuliko wa bob.mziki wa bob unahitaji akili kubwa sana kuuelewa, ukiona mtu atambui bob n nan co kosa lake kosa ni low IQ iliyoshindwa kuelewa mafumbo na vitendawili vilivyopo kwny mziki wake
bob kaimba mziki ambao hata ipite karne ukiusikiliza unaona kabisa unareflect the real situation in a society
bob was a prophet asee
rip legend
Sent using Jamii Forums mobile app
watu hawaelewi tunawaambia.nao wanabebwa mzega mzega.Hata Michael Jackson angeimba nyimbo zote zile akiwa Bado na ngozi nyeusi......sidhani Kama angekuwa pale anapowekwa kimziki
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi sipendi nyumbo za bob ila nampenda sana dube yaan ni mfuasi wake wa kufa na kufurukutwaDunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.
Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.
Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.
Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.
Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.
Sikiliza hizi
sasa unadhani kosa lilikuwa anachoimba au anaimba akiwa wapi???hivi unadhani dube angezaliwa marekani hali ingekuwaje!!!!!Hawa watu sijui wanafikiriaje, huwezi kumfananisha mwanamuziki aliyewika worldwide na mwanamuziki anayefahamika kusini mwa jangwa la Sahara pekee.
Lucky Dube alishindwa kumfunika Alpha Blondie, ndio umpambanishe na muasisi wa reggae. Mkuu hebu kuwa serious basi.sasa unadhani kosa lilikuwa anachoimba au anaimba akiwa wapi???hivi unadhani dube angezaliwa marekani hali ingekuwaje!!!!!
na vile alikuwa na muonekano a ajabu ajabu ndio kabisaa,wengi wenu mkanuna mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
mziki wa dube una nafasi ya kuishi miaka 100 mbele kuliko wa bob.
leo hii hata ukikamata kijana wa miaka 18,hamjui bob ila dube anamjua,unajua kwanini!!!,mwamba aliimba nyimbo zinazoeleweka na watu wote.
hata baadae kuna uwezekano akaja kutambulika kama muasisi wa reggae kwa vizazi vijavyo,haitakuwa bahati mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
soma tena majibu yapo hapo.Wasiomfahamu Bob Marley ni watu wa wapi? Tuanze hapo kwanza. Maana sio uko tu Mbagala, unakuja kuleta madai kwamba watu Duniani hawamfahamu Robert Nesta
alpha blondie ndio kituko gani hiki unaleta,hana hata identity track[emoji848]Lucky Dube alishindwa kumfunika Alpha Blondie, ndio umpambanishe na muasisi wa reggae. Mkuu hebu kuwa serious basi.