Nephew
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 256
- 295
Kwa kweli inashangaza na kuhuzunisha sana kumfananisha legend na mfuasi wakeDuh mkuu nyimbo za Bob vile ni vitabu vya filosofia. Daah. nimesikitishwa sana na huu uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli inashangaza na kuhuzunisha sana kumfananisha legend na mfuasi wakeDuh mkuu nyimbo za Bob vile ni vitabu vya filosofia. Daah. nimesikitishwa sana na huu uzi.
Sio kama simpendi Lucky Dube ila muziki wake nilianza kuupotezea pale alipohusishwa na kifo cha Senzo
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Nisome tena, labda hujaelewa.
Acha upumbavu wewe chizi senzo ni mzima wa afya mjinga weweNisome tena, labda hujaelewa.
Ndio mzungu kichako kimejaa kamasi
"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
Mpumbavu mwenyewe na ukoo wenu! kwani nani amesema Senzo amekufa! Najua Senzo hakufa na alikuwa mafivhoni na chanzo cha kujificha ni kutokana na jamaa huyo kuhusishwa kutaka kumuua. Acha ujinga wa kupitia post moja
Then angalia hii ni post ya lini? Kunguni wewe!Naelewa, nisome tena alihusishwa na kifo cha Senzo. Senzo hakufa na alikuwa mafichoni. Si ametoka mafichoni baada ya huyu jamaa kufa.
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
We ni mpuuzi tu senzo alikaa nje ya muziki kwasababu ya issue ya sauti ilikuwa haitoki mbwa wewe wa kichinaThen angalia hii ni post ya lini? Kunguni wewe!
"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
Ungekua msikilizaji mzuri wa reggae ungefahamu Bob Nesta Marley na Luck Dube wanapiga aina tofauti ya reggae nikiwa na maana Bob Marley alipiga Roots Reggae na Lucky Dube alipiga Sweet Reggae.
Katika tasnia ya muziki wa reggae inaonyesha tayari hivyo ni vionjo tofauti vya muziki.
Usifananishe Bob Marley na vitu vya kijinga kabisa
Nasisitiza Bob Marley mfananishe na kina Peter Tosh, Joseph hill, Israel Vibration ana Alpha Blondy halafu huyo Luck Dube mfananishe na kina kin Senzo.
Full Stop
Sasa Lucky dube kaimba reggae ipi.Make kwenye root hayupo wala kwenye sweet raggae hayupo.Laki dube alikuwa anaimba kwaya kwa mtindo wa raggae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.
Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.
Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.
Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.
Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.
Sikiliza hizi

What a nice piece!1. Paragraph ya kwanza tu unaonekana hujui mambo ya kidunia. Aliyeuwawa ni Lucky Dube (kwa risasi) Bob alikufa tu kawaida kwa kansa iliyoanzia kwenye kidole chake cha mguu.
2. Huwezi mlinganisha Lucky Dube na mkongwe Bob. Lucky anaimba na vinanda sana (huwa tunasema nyimbo zake ni kama kwaya) Bob anaimba ile "Roots Rocky Reggae" yenyewe.
3. Kasikilize nyimbo za Bob kama "Jah live" "Jump Nyabinghi" "Roots Rock Reggae" "Chant Down Babylon" "Them Belly Fully" "Bad card" "Concrete Jungle" "Kaya" najua kwa uelewa wako umeishia zile nyimbo common kama "No woman no cry" "Africa Unite" "Zimbabwe"
4. Fanya hayo hapo juu No. 3 halafu uje ufute huu uzi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tatizo la watu wengi Uzi wanaukuta njiani anaku qoute hangalii nyuma comment imetokana na niniMpumbavu mwenyewe na ukoo wenu! kwani nani amesema Senzo amekufa! Najua Senzo hakufa na alikuwa mafivhoni na chanzo cha kujificha ni kutokana na jamaa huyo kuhusishwa kutaka kumuua. Acha ujinga wa kupitia post moja
"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
Yaani hata mimi nashangaa sana humu wanaomfananisha Bob Marley na hao wakina Dube....