Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Nani mkali zaidi ya mwingine mkiwa kwenu Sigimbi ndio mnaulizana hivyo,
Lakini dunia nzima inamtambua Bob Marley.

Ukiona huelewi falsafa ya Bob haikufanyi umu underrate, huyo Dube amekua influenced na kina Bob na Tosh enzi hizo anaimba kwaya kabla hajahamia kwenye Reggae.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Kumbe na huku upo vyema! Nenda kajiburudishe na albam ya "Babylon by bus"

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Unahabari kwamba Senzo yupo hai na hiyo habari haina ukweli wowote?
Ninayo habari, nilivyowaeleza hivyo ni kwamba Dube alihusishwa na kutaka kumuua Senzo, ambapo ilimbidi Senzo kuingia magichoni na alikuja kutoka mafichoni baada ya Dube kufariki.[emoji106]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Acha kumfananisha TUFF GONG na lucky dube mkuu.Nesta Marley ni moto mwingine na hatotokea kama yeye.

Yaani jamaa ana vibe ya kiaina yake na hana kazi mbovu.

No woman no cry is my favorite song kwa upande wangu.Mungu alimpaka Kipaji cha kipekee huyu jamaa na alikuwa very friendly. Nimeamini hpa ulimwenguni kwamba Chema hakidumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.

Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.

Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.

Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.

Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.

Sikiliza hizi

Post mbovu kabisa hii
 
Daddy even where u are remember me.... "

Mpeni heshima lucky Dube wivu sio mzuri wakuu hasa nyie wala bange
You left for the city many years,
Promised to come back and take care of us
Many years have gone by now still no sign of you daddy eeh
Mammy died of heart attack when she heard that you were married again

Daddy wherever you are remember me
Daddy whatever you do I love you

Wandering up and down in the streets of soweto
no place to call my home
I tried to find you many years have gone and the woman you were married too is not good at all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robert Nesta ni muujiza, atakaa akumbukwe mpaka kwenye vizazi vya mwisho wa Dunia.
 
Me naona kila mtu alikuwa Best kwa zama zakee sawa leo uanze kumfananisha Eminem na Tupac...!!! Wengi watasema tupac ni mkali kwa kufata mkumbo ila hata Nyimbo zake mbili hawazijuiii... Kwangu Lucky dube ni best raggae artist milele yote nikisema bob marley nitafata mkumbo hata simu yangu Nyimbo za Luck dube nyingi sana. Remember Me..Slave..prisoner yani mwamba alikuwa noma sana. Aliemuua mshkaji alaaniwe sana japo wanadai hakujua kama ni Lucky dube that Man was Blessed aisee.
 
Dunia yote inamtukuza na kumuhusudu Bob Marley (Culture?) kama mfalme wa muziki rege, sijui wanatumia vigezo gani hasa. Wanamshusha na kumchukulia poa Lucky Dube sijui kwakua Bob aliuawa ndio wanakua na sympathy naye.

Kwa upande wangu japo Dube alimuheshimu Bob ila kwangu dube ndio mfalme wa muziki wa rege duniani. Nyimbo safi zenye ujumbe mwanana, beats zilizoenda shule performance za hadhi ya nyota 15 alizofanya! Nina uhakika Bob angekuwepo wakati Dube Anatoa Album zake 3 za mwanazo (hasa Slave) angempigia magoti Dube na kumsujudu kwa nyimbo bora alizotoa.

Huyu jamaa anajua hasa sikiliza nyimbo zake zote 80% lazima uzipende tu, ukutaka ujue ukali wa huyu mtu angalia Live performance zake utadata.

Najua mtanipinga humu na kunipopoa ila kwangu huyu ndio nishampitisha kua Mfalme wa Rege Duniani, hakuna mwingine.

Ninauhakika huko alipo kapumzika kwa amani maana katimiza kile kilichomleta duniani (Kuhamasisha watu waamke) japo alikua na mapungufu yake kama mtu yoyote yule ila naamini huyu mtu mbingu ni yake na tunaweza mwita mtakatifu kwa kazi yake nzuri.

Sikiliza hizi

You made my day

kama; one beuty is in the eyes of a beholder basi sweetness of a music is in the ears of a listener.

In my side Bob Marley is far beyond Lucky Dube, ndiyo maana dunia inamuita The king of Raggae.
 
Nyimbo nyingi za lucky ukizisikiliza zina hisia sana yan alikuwa anaimba kwa hisia kwel mfan remember me,slave,usizi, back to my roots hii back to my roots aliiperform 93 kuna clip YouTube ile permfomance yake kuanzia upigaji vyombo mpaka saut ilikuwa balaa mim nyimbo za bob azinigusi kabisa yan japo alikuw vizur ila ni vile kila mtu na anaemkubali. Kuna moja hiv ya lucky inaitwa hands that gives ina message nzur sana
 
𝐵𝑂𝐵 𝑀𝐴𝑅𝐿𝐸𝑌 𝑎𝑙𝑖𝑢𝑎𝑤𝑎 𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝐿𝑈𝐶𝑌 𝐷𝑈𝐵𝐸 𝑎𝑙𝑖𝑢𝑎𝑤𝑎

𝑗𝑒 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑧𝑎 𝑚𝑎𝑢𝑎𝑗𝑖 𝑦𝑎𝑜 𝑛𝑖 𝑧𝑖𝑝𝑖?
 
Nyimbo nyingi za lucky ukizisikiliza zina hisia sana yan alikuwa anaimba kwa hisia kwel mfan remember me,slave,usizi, back to my roots hii back to my roots aliiperform 93 kuna clip YouTube ile permfomance yake kuanzia upigaji vyombo mpaka saut ilikuwa balaa mim nyimbo za bob azinigusi kabisa yan japo alikuw vizur ila ni vile kila mtu na anaemkubali. Kuna moja hiv ya lucky inaitwa hands that gives ina message nzur sana
Kuna ule wimbo wa I GOT YOU BABE ali perform uwanjani,ilikua ni noma aiseee.
 
Back
Top Bottom