Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

You nailed it
 
kwangu dube nimemuelewa kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 2.shahidi baba yangu mzazi.

nilipokua nikaja ambiwa kuna mtu anaitwa bob marley na wengine embu sikiliza hao pia.niwe muwazi tu

sijawahi mfananisha LUCKY na upuuzi mwingine,kitu nimeona hapa kuna ile kasumba ya kutokubali cha kiafrica,kwangu mimi ukitaja reggae basi picha inayokuja ni lucky dube.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20200418-110001_jetAudio+.jpg
    71.1 KB · Views: 6
Bora wewe umejitanabaisha mwenyewe kuwa uelewa wako ni mwembamba sana. Umeeleza wazi kuwa toka ukiwa na miaka 2 mpaka umekua hukujua kuna watu wengine duniani wanapiga reggae. WEWE TUNAKUSAMEHE.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michael Jackson, Michael Jordan, Bob Marley, Papa John Paul, Pele, Maradona ndio group la Bob Marley.....
 
lack dube anaimba gospel sio culture raggae
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wewe umejitanabaisha mwenyewe kuwa uelewa wako ni mwembamba sana. Umeeleza wazi kuwa toka ukiwa na miaka 2 mpaka umekua hukujua kuna watu wengine duniani wanapiga reggae. WEWE TUNAKUSAMEHE.

Sent using Jamii Forums mobile app
hata views youtube zinakataa kwamba bob alikuwa mkali kwa dube kama mnavyotaka.

kama wangekuwa watu waliofanya kazi wakati mmoja,bob angekalishwa round zote,heshima aliyo nayo ni uasisi tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni kabla sijasikiliza reggae vizuri, niliamini Bob Marley anakuzwa tu ila Luck Dube ni zaidi.

Ila nilivyokuja kumsikiliza Bob Marley vizuri, nikamuona Luck Dube ni takataka tu mbele ya Bob na manyimbo yake ya kwaya.

Bob Marley mpambanishe na Peter Tosh sio huyo choko wa hapo kwa wazee wa thenophobia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama ni vema kumtusi marehemu,
Watanzania wenzangu mnakwama wapi? Mbona tumekua watu wa ajabu hivi?
 
Kwa sababu Lucky ni Muafrica basi ndio tumshabikie lol,
Inferiority at work....
Lucky Dube mwenyewe alikua anamuheshimu Bob Marley,
Umezungumzia kuhusu viewers wa youtube hahaha mzee hapa hatupambanishi AliKiba na Mondi,

Give yourself a break.
 
Kuna Reggae na reggish.Bob Marley,Peter tosh,Burning spear, ni reggae.Lucky Dube UB40,Eddy Grant,Gregory issacs ni reggish,yaani Lucky Dube ni kama Halima mdee, Bob ni Martin luther,Peter tosh ni Malcom x
 
Reactions: rr4
Bob kumuelewa ni ngumu,
Watoto laini laini mnapenda vitu laini.
Hahaha mie mwenyewe mgumu aise, wote nimeshawasikiliza ila basi tu nimetokea muelewa Lucky Dube kuliko Bob Marley hasa kwa upande wa tunes na beats.

Mie ni shabiki mkubwa wa hip hop na trap (muziki wa watu wagumu), ila kwenye reggae sijui tu kwanini nimejikuta napenda sweet reggae kuliko roots reggae.
 
Muziki ni burudani. Vinanda vipo kwa ajili ya kutoa burudani. Lucky Dube alitoa burudani kwa kutumia vinanda vizuri na kwa kuimba vizuri pia. Muziki ukuburudishe, ukusisimue.
 
Ukitaka kunufaika na ufahamu wa wana JF jitahidi kuwa nauliza sio kuleta ujuaji!Watu humu wanajua mambo kwa upana sana with facts. Umejiunga juzi juzi hivyo kuwa makini sana
 
Kwa sababu Lucky ni Muafrica basi ndio tumshabikie lol,
Inferiority at work....
Lucky Dube mwenyewe alikua anamuheshimu Bob Marley,
Umezungumzia kuhusu viewers wa youtube hahaha mzee hapa hatupambanishi AliKiba na Mondi,

Give yourself a break.
swala la dube kumheshumu bob hata mond hutoa heshima kwa akina gurumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kunufaika na ufahamu wa wana JF jitahidi kuwa nauliza sio kuleta ujuaji!Watu humu wanajua mambo kwa upana sana with facts. Umejiunga juzi juzi hivyo kuwa makini sana
upana kusema bob ni mkali kuliko dube[emoji16][emoji16][emoji16]

maana ya upana imebadirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…