Wengi wenu mnatetea ugali wenu sababu ya njaa zenu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Wengi kuhusu swala la bandari wanatetea ugali wao maana hawatapitisha magari bila kulipa kodi wala kupunguziwa.

Wengine ninyi wauza madawa mnao pitisha kwa njia ya bandari mnajua mambo yatakuwa magumu na hamtakuwa na uwezo tena wa kutumia njia hiyo ya bandari.

Wengine mnaongea kwakuwa hamna uelewa mnapotoshwa na wajinga ambaoa wanatetea ugali wao acheno mara moja kuwasapoti.

Viongozi wengi uchumi wao upo bandarini na Airport hizo ndio njia yenu kubwa kupitisha magendo, Mama na uwanja wa ndege mpe Mwarabu kabisa.
 
Mirembe straight hata kabla ya majibu ya vipimo hayajatoka. Kwa mfumo wa sasa ulishawahi ingiza gari ukapunguziwa kodi?
 
Hujui kitu wewe waje hapa wafanya biashara wa magari nenda kapitie risiti zao za malipo TRA uone kodi iko sawa na ushuru wa bandari upo sawa? Watu wanapitisha vitu vya magendo kuna makontenta ya mchina ya aingia kinyemelaa pale bandarini a linaendwa kutupwa kurasini uko ndiko linatoa bidhaa na kuuza kimagendo na ili dili kashikiria mtu mkubwa sana hapa tz au kontena sikuiz zinapitia Airport?
 
Ok sawa hatukatai ila kuna muda mwizi anakua na huruma aya tukuulize swali ao Dp wanachukuwa bandar kwa muda gani
Na maslahi ya taifa ni asilimia ngap
Je ilo eneo itakuwa ni dubai zone ndani ya tz maana utakuja ambiwa kuingia bandarin lazima uwe ma passport
 
Kwanini tusianze na uwanja wa ndege wa chato hao DPW watushushie madege ya watalii wakatembelee mbuga zetu za buligi ambazo zimedoda
 
Ok sawa hatukatai ila kuna muda mwizi anakua na huruma aya tukuulize swali ao Dp wanachukuwa bandar kwa muda gani
Na maslahi ya taifa ni asilimia ngap
Je ilo eneo itakuwa ni dubai zone ndani ya tz maana utakuja ambiwa kuingia bandarin lazima uwe ma passport
Kaka mwizi gana hapa tz amewai kuwa na huruma hasa hawa wenyewe v8 na vioo vyeus yupi? Nenda dodoma uone wanavyo tumia pesa za serikali na hawana huruma unaongelea kuhusu nini mkuu
 
Kwanini tusianze na uwanja wa ndege wa chato hao DPW watushue madege ya watalii wakatembelee mbuga zetu za buligi ambazo zimedoda
Uko chato kumepewa uwanja wa ndege wakati haikustahiri
 
Kaka mwizi gana hapa tz amewai kuwa na huruma hasa hawa wenyewe v8 na vioo vyeus yupi? Nenda dodoma uone wanavyo tumia pesa za serikali na hawana huruma unaongelea kuhusu nini mkuu
...ambao aliyewateua ameshindwa kuwasimamia wasifanye hivyo, siyo?
 
Utaratibu ni mbovu tangu uhuru upatikane wtz wengi washazoea vitu vya magendo na wizi kwahiyo ata umteue mtu kutoka wilayani aje juu atakuja na wizi wake wa kule chini Tina shuhudia maafisa aridhi wanavyo jimilikisha aridhi tangu enzi za mwalimu mpaka sasa hii shida
 
DPW akijenga CAR park ya ghorofa ya kuweka magari

Akageuza car park ya sasa bandarini kuwa sehemu ya kuhufadhi containers

Akaweka mfumo imara TPA ambao auwezi chezewa

Akaboresha dry port za Kwala na Kurasini.

We unadhani kitakachofuata nini baada ya uwekezaji huo biashara binafsi ya dry port inakufa.

Mchezo wa kuchezea mifumo ya ukwepa kodi hakuna. Unafikiri wanufaikaji watafurahi.

Uwezi kufurahisha mafisadi yote nchi hii, vinginevyo uwezi endelea. Kuna mijitu imezoea taratibu zao za wizi.
 
Jibu swali Mwachiluwi!

Nimekuuliza, kama huyo unayemtetea ameshindwa kuwasimamia hao uliowasema na haohao ndiyo wanao jaza MIKATABA kama huo wa DPW sasa je, huoni lipo tatizo?

Ama Samia ndiye aliujaza huo MKATABA hakuwashirikisha hao wezi?
 
Then walipo gundua umasikini umewapigia hodi wamenyanyuka kuanza kufoka oh tuandamane oh sijui vile

Af mtu hajiulizi uyo anaesema waandamane amewai kuongea ukweli kuhus wizi wanao ufanya uko juuu mfano hai chadema baada ya kelel nyingi za ofis leo ndio wametoka kwenye nyumba af ndio tuje kuwapa nchi?

Ni njaa za wanasiasa ndizo zinatufikisha hapa
 
Tatizo lipo kwa mtu binafsi kutokuwa muadirifu sio kwa msimamizi mama anafanya kazi yake vizr wanao muangusha ni hawa watumishi also wachagua hakuna mtu perfect wengine wanatumika na sukumagang
 
Kwa hiyo tunakubaliana hawezi kuwasimamia siyo?
 
Then walipo gundua umasikini umewapigia hodi wamenyanyuka kuanza kufoka oh tuandamane oh sijui vile

Af mtu hajiulizi uyo anaesema waandamane amewai kuongea ukweli kuhus wizi wanao ufanya uko juuu mfano hai chadema baada ya kelel nyingi za ofis leo ndio wametoka kwenye nyumba af ndio tuje kuwapa nchi?

Ni njaa za wanasiasa ndizo zinatufikisha hapa
Chadema unawachukia bure, sisi wananchi waliowengi tutawake ikulu, muda wa ccm kuweko madarakani umekwisha, mkavae vimini mkauze baa.
 
Kwa hiyo tunakubaliana hawezi kuwasimamia siyo?
Hapo nakataaa kabisa mama ni mkali kuliko mnavyo mchukulia kwnye runinga na kak wewe ilo unalijua

Ivi mbongo akiamua kupiga dili ata umbane vipi anapiga tu kaka au nailo unakataa?
 
Chadema unawachukia bure, sisi wananchi waliowengi tuawake ikulu, muda wa ccm kuweko madarakani umekwisha, mkauze mkavae vimini mkauze baa.
Nani kasema chama kilicho jaa mazuzu na watu wasii jitambua ndio waingie ikulu
 
Back
Top Bottom