Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Nimekuuliza swali ajabu unakwepa kujibu!Hapo nakataaa kabisa mama ni mkali kuliko mnavyo mchukulia kwnye runinga na kak wewe ilo unalijua
Ivi mbongo akiamua kupiga dili ata umbane vipi anapiga tu kaka au nailo unakataa?
Unamsifia Samia huku ukiwaponda wateule wake ambao ndiyo wao hao wamejaza MKATABA wa BANDARI yetu sasa huoni kuna tatizo hapo?!