Wengi wenu mnatetea ugali wenu sababu ya njaa zenu

Wengi wenu mnatetea ugali wenu sababu ya njaa zenu

Njoo nikuajiri we mbulula maana hapa kuna wanaume wenzio hapa nawalipa mshahara ongezeka na wewe ntakupa utaniboy. Maana una njaa mpaka kwenye kope.
SAwa boss wew mwenyewe si taniboy
 
Wengi kuhusu swala la bandari wanatetea ugali wao maana hawatapitisha magari bila kulipa kodi wala kupunguziwa.

Wengine ninyi wauza madawa mnao pitisha kwa njia ya bandari mnajua mambo yatakuwa magumu na hamtakuwa na uwezo tena wa kutumia njia hiyo ya bandari.

Wengine mnaongea kwakuwa hamna uelewa mnapotoshwa na wajinga ambaoa wanatetea ugali wao acheno mara moja kuwasapoti.

Viongozi wengi uchumi wao upo bandarini na Airport hizo ndio njia yenu kubwa kupitisha magendo, Mama na uwanja wa ndege mpe Mwarabu kabisa.
Inamaana serikali ya CCM imeshindwa kudhibiti hayo yote imeamua kuipa hayo mamlaka serikali ya Dubai?

Sasa kama wameshindwa Si waachie hayo madaraka?
 
Inamaana serikali ya CCM imeshindwa kudhibiti hayo yote imeamua kuipa hayo mamlaka serikali ya Dubai?

Sasa kama wameshindwa Si waachie hayo madaraka?
Wa kuachie wewe kuku
 
Inamaana serikali ya CCM imeshindwa kudhibiti hayo yote imeamua kuipa hayo mamlaka serikali ya Dubai?

Sasa kama wameshindwa Si waachie hayo madaraka?
Wanasema Kuna wezi pale bandari wameamua kumuzia mwarabu ili kukomoa wezi, police wameshindwa kukamata hao wezi? ccm sio chama cha siasa
 
Wanasema Kuna wezi pale bandari wameamua kumuzia mwarabu ili kukomoa wezi, police wameshindwa kukamata hao wezi? ccm sio chama cha siasa
Yaani wao tumewapa madaraka wameshindwa wanaamua kuwauzia waarabu wa Dubai
 
Back
Top Bottom