Wengi wetu, hatujui wanaowakwamisha viongozi wa juu ni hawa wa chini

Wengi wetu, hatujui wanaowakwamisha viongozi wa juu ni hawa wa chini

keivanti

Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
92
Reaction score
98
Nimesoma taarifa Leo Rwanda walimu kupata salary increase 88% .

Kwa Tanzania wachawi ni wasaidizi wa Rais. Wanampotosha Sana. Unamuongezea MTU 23.3 Kwa kima Cha chini halafu ndio inakuaje.

Ni akili ndogo kudanganya akili kubwa. Nyongeza hiyo imetokana na nini? Kama ni ugumu wa maisha, ongezeko litaziba kitu gani.

Usafirishaji
Chakula.
Matibabu
 
Maadui wetu wakuu watatu: UJINGA, MARADHI, & UMASKINI. Kwa bahati mbaya sana, kukosa elimu (UJINGA) ndiye baba na mama wa wengine wawili.
 
Yeye ndo tatizo wala sio wasaidizi wake, na lengu ni kuonyesha kuwa yeye ni mzuri kulo jpm matokeo yake anatoa ahadi bila kujua hela ataitoa wapi
 
Back
Top Bottom