keivanti Member Joined Jul 29, 2022 Posts 92 Reaction score 98 Aug 4, 2022 #1 Nimesoma taarifa Leo Rwanda walimu kupata salary increase 88% . Kwa Tanzania wachawi ni wasaidizi wa Rais. Wanampotosha Sana. Unamuongezea MTU 23.3 Kwa kima Cha chini halafu ndio inakuaje. Ni akili ndogo kudanganya akili kubwa. Nyongeza hiyo imetokana na nini? Kama ni ugumu wa maisha, ongezeko litaziba kitu gani. Usafirishaji Chakula. Matibabu
Nimesoma taarifa Leo Rwanda walimu kupata salary increase 88% . Kwa Tanzania wachawi ni wasaidizi wa Rais. Wanampotosha Sana. Unamuongezea MTU 23.3 Kwa kima Cha chini halafu ndio inakuaje. Ni akili ndogo kudanganya akili kubwa. Nyongeza hiyo imetokana na nini? Kama ni ugumu wa maisha, ongezeko litaziba kitu gani. Usafirishaji Chakula. Matibabu
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,392 Aug 4, 2022 #2 Maadui wetu wakuu watatu: UJINGA, MARADHI, & UMASKINI. Kwa bahati mbaya sana, kukosa elimu (UJINGA) ndiye baba na mama wa wengine wawili.
Maadui wetu wakuu watatu: UJINGA, MARADHI, & UMASKINI. Kwa bahati mbaya sana, kukosa elimu (UJINGA) ndiye baba na mama wa wengine wawili.
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 8,025 Reaction score 8,812 Aug 4, 2022 #3 Yeye ndo tatizo wala sio wasaidizi wake, na lengu ni kuonyesha kuwa yeye ni mzuri kulo jpm matokeo yake anatoa ahadi bila kujua hela ataitoa wapi
Yeye ndo tatizo wala sio wasaidizi wake, na lengu ni kuonyesha kuwa yeye ni mzuri kulo jpm matokeo yake anatoa ahadi bila kujua hela ataitoa wapi
Isike Moses JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 2,788 Reaction score 4,248 Aug 4, 2022 #4 Jasmoni Tegga said: Maadui wetu wakuu watatu: UJINGA, MARADHI, & UMASKINI. Kwa bahati mbaya sana, kukosa elimu (UJINGA) ndiye baba na mama wa wengine wawili. Click to expand... 4. Lumumba
Jasmoni Tegga said: Maadui wetu wakuu watatu: UJINGA, MARADHI, & UMASKINI. Kwa bahati mbaya sana, kukosa elimu (UJINGA) ndiye baba na mama wa wengine wawili. Click to expand... 4. Lumumba