Wengine huwa hatupashi viporo

Duh! Sasa ndo ufoke kiasi hicho [emoji16]

Kiporo lazima nile kwanza hakihitaji moto mwingi
(Mtalaka hatongozwi) labda kama kaolewa.

Sijawahi kosana na X wangu ye yote sijui kwa nini?

Hamhajawi kosana Wakati mumeachana. Huo ni unafiki wa kiwango cha juu Kabisa
 
Ukiachana na mtu achana nae,huwezijua huko alikoenda kabeba nini,halafu unakuja kupasha tu kipolo.Ni hatari sana,magonjwa mengi sana.
 
Kuna binti nilikua na mahusiano nae sasa ikafikia muda nikaona haendani na mitazamo yangu maana anajifanya mjuaji sana.

Sasa nilikua nimepanga nae mambo mengi nikamuahidi sitomuachaga, sasa tukawa tunapishana sana ugomvi hauishi na kununiana nikaona huyu sasa jambo na yeye limefika mwisho.

Mimi nikaamua kuachana na huyo binti bila kumwambia, yaani nikawa nawasliana nae kawaida ila simpi ushirikiano wa mapenzi, mpaka ikafikia hatua akaamua mwenyewe tuachane.

Akanimbia mwenyewe nimechoka kila mtu angalie ustarabu wake, nikamjibu sawa. Akakaniambia huna lolote umenipotezea muda tu[emoji23].. nikamjibu sawa , maana me nikiachana na mtu huwa naachana kistarabu.

Kuanzia hapo nikafuta namba na kila kitu chake, zikapita siku 2 akanitafuta sikujibu sms zake, nikaa wiki akanitumia sms sikujibu, akaanza kunilaumu et namchukia bila sababu maneno mengi nikamjibu tumeachana sitaki kuwasliana na ww tena nikampiga tofali.

Akawa ananitafuta kwa namba tofauti tofauti nikigundua ni yeye nampa kitofa mpaka akanisahau yule pimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…