Wengine huwa hatupashi viporo

Wengine huwa hatupashi viporo

Kwema Wakuu!

Kwa kweli sisi wengine tukiachana ndio tumeachana moja Kwa moja. Hakuna kitu ambacho kinaniudhi na kunifanya niwe mkali kama binti niachane naye halafu baada ya miaka miwili aniletee shobo na pigo za kipumbavu pumbavu. Tukishaachana tumeachana, mazoea ya kujifanya sijui marafiki sijui ushkaji sio kwa watu kama sisi.

Wapo wanawake ambao nimewaweka kwenye kundi la marafiki na dada wa hiyari, wewe kama nilikuweka kwenye kundi la mpenzi tukashindwana elewa kuwa ndio nafasi pekee niliyokupatia. Nawe ufanye vivyohivyo, wala sitajali kwa sababu ni maamuzi yako.

Kupasha kiporo kwa kweli ni mwiko. Wanasema kurudia matapishi. Sijajua ni allergy au ni nini, lakini hiyo iko hivyo.

Kuna wale umezaa naye mtoto halafu mkaachana. Ukipiga simu eleza ishu za mtoto hayo mengine sijui ya maisha yanaendaje hayakuhusu, mbona mimi sikuulizi.

Dakika mbili zinatosha kutoa taarifa ya mtoto. Kama ni pesa itatumwa. Mtoto amekua mkubwa, atajieleza mwenyewe nikiongea naye.

"Oooh, nimekumiss, ooh bado nakukumbuka!" Who cares, inahusu nini, inamaana gani kwa muda huu?

Tafuta mtu mwingine, au kaa mwenyewe, fresh! Umekuwa mke au mchumba wa mtu kwa nini kunisumbua sumbua na kujifanya unanijua sana, pumbavu!

Viporo wengine ni mwiko kuvipasha! Yaani watoto kibao wazuri wamejaa huko mitaani halafu nipashe kiporo. Huyo labda sio mimi.

Tukishaachana;
1. Futa namba zangu na usinitafute kabisa. Unanisalimu salimu nini, uliambiwa wanawake wengine hawawezi kazi hiyo?

2. Choma picha zangu na zile za kwenye simu futa zote ili usinikumbuke.

3. Ikiwezekana delete faili langu kwenye ubongo wako kama mimi nilivyofanya.

Oooh, sijui nitakukumbuka, mara sitapata mwanamke mwengine kama wewe, hivi aliyekwambia nitatafuta mwingine kama wewe ni nani?

Imebaki stori, kila mtu apite kivyake. Kufuatana fuatana wengine hatutaki. Tukiachana tunamaanisha tumeachana. Full stop.

Nawatakia Sabato njema

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Mzee nakubali sana hili bandiko
 
Kuna binti nilikua na mahusiano nae sasa ikafikia muda nikaona haendani na mitazamo yangu maana anajifanya mjuaji sana.

Sasa nilikua nimepanga nae mambo mengi nikamuahidi sitomuachaga, sasa tukawa tunapishana sana ugomvi hauishi na kununiana nikaona huyu sasa jambo na yeye limefika mwisho.

Mimi nikaamua kuachana na huyo binti bila kumwambia, yaani nikawa nawasliana nae kawaida ila simpi ushirikiano wa mapenzi, mpaka ikafikia hatua akaamua mwenyewe tuachane.

Akanimbia mwenyewe nimechoka kila mtu angalie ustarabu wake, nikamjibu sawa. Akakaniambia huna lolote umenipotezea muda tu[emoji23].. nikamjibu sawa , maana me nikiachana na mtu huwa naachana kistarabu.

Kuanzia hapo nikafuta namba na kila kitu chake, zikapita siku 2 akanitafuta sikujibu sms zake, nikaa wiki akanitumia sms sikujibu, akaanza kunilaumu et namchukia bila sababu maneno mengi nikamjibu tumeachana sitaki kuwasliana na ww tena nikampiga tofali.

Akawa ananitafuta kwa namba tofauti tofauti nikigundua ni yeye nampa kitofa mpaka akanisahau yule pimbi.
Hii scenario ndiyo ninayoipitia mimi kwa sasa. Tumefanya mambo mengi, tuna mipango mingi na nimemuahidi sitamuacha na kweli anaona namkubali kweli, sasa ameanza kuleta ujuaji, dharau, ugomvi na kero za kutosha

Now nipo nawasiliana naye tu ila naona moyoni na akilini ameanza kunitoka kabisa, japo najaribu kurudisha mzani to equilibrium
 
Hii scenario ndiyo ninayoipitia mimi kwa sasa. Tumefanya mambo mengi, tuna mipango mingi na nimemuahidi sitamuacha na kweli anaona namkubali kweli, sasa ameanza kuleta ujuaji, dharau, ugomvi na kero za kutosha

Now nipo nawasiliana naye tu ila naona moyoni na akili ameanza kunitoka kabisa, japo najaribu kurudisha mzani to equilibrium
Mpige chini ila usimwmbie kama mmeachana ili asiseme umemchezea na umemuumiza ipo siku atakutamkia yeye muachae alafu unafunga mageti in chinno kiddd voice
 
Kwema Wakuu!

Kwa kweli sisi wengine tukiachana ndio tumeachana moja Kwa moja. Hakuna kitu ambacho kinaniudhi na kunifanya niwe mkali kama binti niachane naye halafu baada ya miaka miwili aniletee shobo na pigo za kipumbavu pumbavu. Tukishaachana tumeachana, mazoea ya kujifanya sijui marafiki sijui ushkaji sio kwa watu kama sisi.

Wapo wanawake ambao nimewaweka kwenye kundi la marafiki na dada wa hiyari, wewe kama nilikuweka kwenye kundi la mpenzi tukashindwana elewa kuwa ndio nafasi pekee niliyokupatia. Nawe ufanye vivyohivyo, wala sitajali kwa sababu ni maamuzi yako.

Kupasha kiporo kwa kweli ni mwiko. Wanasema kurudia matapishi. Sijajua ni allergy au ni nini, lakini hiyo iko hivyo.

Kuna wale umezaa naye mtoto halafu mkaachana. Ukipiga simu eleza ishu za mtoto hayo mengine sijui ya maisha yanaendaje hayakuhusu, mbona mimi sikuulizi.

Dakika mbili zinatosha kutoa taarifa ya mtoto. Kama ni pesa itatumwa. Mtoto amekua mkubwa, atajieleza mwenyewe nikiongea naye.

"Oooh, nimekumiss, ooh bado nakukumbuka!" Who cares, inahusu nini, inamaana gani kwa muda huu?

Tafuta mtu mwingine, au kaa mwenyewe, fresh! Umekuwa mke au mchumba wa mtu kwa nini kunisumbua sumbua na kujifanya unanijua sana, pumbavu!

Viporo wengine ni mwiko kuvipasha! Yaani watoto kibao wazuri wamejaa huko mitaani halafu nipashe kiporo. Huyo labda sio mimi.

Tukishaachana;
1. Futa namba zangu na usinitafute kabisa. Unanisalimu salimu nini, uliambiwa wanawake wengine hawawezi kazi hiyo?

2. Choma picha zangu na zile za kwenye simu futa zote ili usinikumbuke.

3. Ikiwezekana delete faili langu kwenye ubongo wako kama mimi nilivyofanya.

Oooh, sijui nitakukumbuka, mara sitapata mwanamke mwengine kama wewe, hivi aliyekwambia nitatafuta mwingine kama wewe ni nani?

Imebaki stori, kila mtu apite kivyake. Kufuatana fuatana wengine hatutaki. Tukiachana tunamaanisha tumeachana. Full stop.

Nawatakia Sabato njema

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Ni mwiko mwanamme kukataa mbususu akitunukiwa. Mwanamme wa ukweli Hapaswi kuwa na kinyaa na mbususu.
 
Viporo mm nakula tu kwa sn Ila kwa umakini zaidi, Ila sio kurudisha uhusiano tena km ilivyo Kula awali hyo ni Neverrrr,[emoji41]
 
Sio kweli.
Kwenye suala la Mapenzi. Mwanaume ni msaliti mara elfu zaidi ya Mwanamke.

Wanawake ni waaminifu Kwa wanaume wanaowapenda.
Ila wanaume siku zote Sisi sio waaminifu hata Kwa Wanawake tunaowapenda. Tamaa ya miili yetu tunaiendekeza mpaka tunawasaliti Wake zetu.
Kwani huyo anayechepuka nae mwanaume ni jinsia gani. Huo hao wanawake wanachepuka na wanaume nao ni wake zao watu tena ndio washawishi sana kwa wanaume ili uingie kingi kwenye ngono.
 
Unayechupuka ndiye msaliti lakini unayechepuka naye anaweza asiwe msaliti (yaani ni Binti tuu hajaolewa)
 
Hamhajawi kosana Wakati mumeachana. Huo ni unafiki wa kiwango cha juu Kabisa

Sio kukosana mazingira tulokutana mf: safarini au nimeenda mbali na makazi lakini pia kuna muda inakifu ya siku zote na unabadili kupata ladha tofauti ufundi pia wametofautiana!

Huwezi baki na mmoja hadi kifo hata ndoa au mama mzazi hufariki Ko siwezi baki na 1 tu na wao ni wengi
 
1. Safari haijawahi kusababisha Watu waachane.

2. Umbali haujawahi kufanya ndoa ivunjike.

Maelezo yako yameeleza Tabia Mbaya ulizonazo;
1. Usaliti
2. Ubinafsi
3. Uchafu
4. Tamaa Mbaya.
5. Kushindwa kujidhibiti(kudhibiti mwili wako)
6. Ukosefu WA Akili, yaani kutokujitambua.

Unasema mamaako anakufa kwani ni lini uliwahi kumuoa huyo Mama yako?
 
Back
Top Bottom