Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Daa mwanaume unamuomba mwanamke pesa kweli watu tumetofautiana lakini kwa sasa kumpata mtu sahihi ni kazi sana Cha muhimu nikumuomba mungu

Yaani hii nilikuwa nasikia mitandaoni ndio nikajionea live kumbe story za ukweli na ana kazi muajiriwa kabisa uhakika mshahara kanizidi mie lakini ananiombaomba hela
 
Mpenzi hadaiwi 🤣

Bora amesepa angekuja kukusumbua sana mbeleni.
 
Yule boss wa ofisini kwako mmefikia wapi? Usije ukaangukia kwake kama ulishaanza kuvutiwa nae na ghafla baby huku kakupiga chini.
 
Yule boss wa ofisini kwako mmefikia wapi? Usije ukaangukia kwake kama ulishaanza kuvutiwa nae na ghafla baby huku kakupiga chini.

Nimeacha mazoezi nae kwakweli nimeona nitaangukia pua… ni upwiru tu wala si kuwa nampenda
 
Yaani anapenda kuombaomba hela Halafu ukimkazia tu anajifanya alikuwa anatania

Nafikirii mahusiano aliotoka alizoea kupewa hela
Huyo hakufai my friend bora kajisepesha. Inatatiza sana mtoto wa kiume kuomba omba hela hii ni dalili mbaya.
 
Safari bado na mda mwingine kufahamiana ni mbele kwa mbele

Kuna vitu siwezi kuandika hapa maana itafungua identity yangu

Nimewaza tu labda nitafute pastor wa kiroho yawezekana haya mambo ni ya kiimani zaidi


Nilishawahi kupata mtu anaeleweka kabisa na alinipenda sana niliona kwa matendo yake ila upepo ulibadilika ghafla vuuuuu[emoji174][emoji174]
 
Watu huachwa kabla ya kupendwa... Yani akishachovya tu imeisha hiyo.
Mengine yote ni drama tuu
never fall in love with a dreamer
 
Huyo hakufai my friend bora kajisepesha. Inatatiza sana mtoto wa kiume kuomba omba hela hii ni dalili mbaya.

Ili nililiona mwanzoni kabisa yaani mpk ananiita mimi bahiri nikamuuliza mimi na wewe nani anapaswa kuitwa hivyo maana mwenzangu una kazi ambayo ni ya uhakika mimi naungaunga tu mission in town natoa wapi hela… hapo ataaza sema alikuwa ananitania
 
Nimejiuliza maswali sana… kuna shida gani mbona sijawah kupata mpnz wa kudumu yaani nikaenjoy mahusiano( japo nimewai kuwa na kijana kwa sasa hayupo ila nilienjoy)
Huyo kijana uliyewahi kumpata uka-enjoy ....ndiye aliyekupa laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…