Wengine wana macho ila hawaoni.

Mie sijui nipo jukwaa gani maana huwa sielewi elewi, msaada please.
 
Kwa anavyowachana wanaume hapa kinadada mnaita kuchamba.

Nikimwona nakimbia hahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndo mana yake.
Wanaume samtaim hamzoeleki nyie
 
Duuh... Chukulia jinsia yako kisha niambie..

Vijana kama nyie mnakufa mapema kila jambo serious na bahati mbaya wengi mnakufa maskini.

Hahah!!, bro tupo na msiba tumepoteza morani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…