Wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki huyo mkunaji ni nani?
Mwenza unaona mbali.Mwenza naona unaanza kampeni za chini chini.
Mie ingekuwa kweli ningerandana na Nape Nnauye.
Sio ki Jf tu, pia napenda harakati zake.
Angepambana kiume kunitetea kama ningekuwa mkewe....lol!!!
Nape Nnauye natania, ila unaweza ongeza nikawa mke wa pili, nije kwenu Lindi kuishi.
Mimi simo,labda umuibie Kalumanzila yale matunguri yake unipe mimi ili nianze kumloga yeye kabla yeye hajaanza kuniloga mimi!Wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha we jamaa umenichekesha sana wallah...Tuwasaidie tu hawa wanachitchat na Wana MMU wenzetu kuwaonyesha wanaolandana nao.
Ukiwa member wa MMU technically unaangukia kuwa member wa chitchat..la sivyo jitangaze leo tukuvue uanachama.
Naanza.
Ushimen wanaendana saana na Thad ..nadhani wanatakiwa wachukue hatua madhubuti.
Behaviourist wanaendana na Demiss nyie hamna haja ya kuchelewa tutangazieni ndoa michango tutoe.
Asprin unaniharibia dada hata pombe hagusi wewe uwe unafuatana na manengelo.. huyu member mpya ila anaijua JF kama kwake.
nitaendelea...
Unakaa hapo mbele kusubiria ninj badala ya kuja huku PM tuyajenge? Ama kweli una macho lakini huoni[emoji848]Ebu ngoja nikae hapa mbele kwanza....
Naskia PM yako uliweka kufuli aina ya Viro.... tehteehhUnakaa hapo mbele kusubiria ninj badala ya kuja huku PM tuyajenge? Ama kweli una macho lakini huoni[emoji848]
Usijali, we njoo na safari lager za kutosha.Naskia PM yako uliweka kufuli aina ya Viro.... tehteehh
Hapa nilikua nabahatisha tu hata kama utanijibu kwa Tag, then nitajua tayari pamenoga [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Huyu bwana mdogo bado anasumbuliwa na utoto, tangu lini gari bovu likavutwa na gari bovu....anitafutie kakijana kenye damu inayochemka[emoji6]Lahaulaaa lakwata......
Naomba nimtunuku kijana kwa uwezo wa kutambua Babu na Bibi zake[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Leo naona umeamua kuweka tangazo kupitia fasihi...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Huyu bwana mdogo bado anasumbuliwa na utoto, tangu lini gari bovu likavutwa na gari bovu....anitafutie kakijana kenye damu inayochemka[emoji6]
Nitangaze wapi wakati Daby keshanimwagia mboga kwa kunichagulia gari bovu nyenzake[emoji57]Leo naona umeamua kuweka tangazo kupitia fasihi...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
We njoo tu, ila usisahau kuja na ile nyama pendwa ili tuisindikizie kwenye chang'aa yetu[emoji23]Leo nagonga hodi kwa Door yako nikia na chupi ya chang'aa mkononi...[emoji39] [emoji39]
Lahaulaaa lakwata.....Nitangaze wapi wakati Daby keshanimwagia mboga kwa kunichagulia gari bovu nyenzake[emoji57]We njoo tu, ila usisahau kuja na ile nyama pendwa ili tuisindikizie kwenye chang'aa yetu[emoji23]
We bado mdogo....Sitajwi JF sijui kwanini!