Wengine wana macho ila hawaoni.

Wengine wana macho ila hawaoni.

Mwenza naona unaanza kampeni za chini chini.
Mie ingekuwa kweli ningerandana na Nape Nnauye.
Sio ki Jf tu, pia napenda harakati zake.

Angepambana kiume kunitetea kama ningekuwa mkewe....lol!!!
Nape Nnauye natania, ila unaweza ongeza nikawa mke wa pili, nije kwenu Lindi kuishi.
Mwenza unaona mbali.
 
Tuwasaidie tu hawa wanachitchat na Wana MMU wenzetu kuwaonyesha wanaolandana nao.

Ukiwa member wa MMU technically unaangukia kuwa member wa chitchat..la sivyo jitangaze leo tukuvue uanachama.

Naanza.
Ushimen wanaendana saana na Thad ..nadhani wanatakiwa wachukue hatua madhubuti.

Behaviourist wanaendana na Demiss nyie hamna haja ya kuchelewa tutangazieni ndoa michango tutoe.

Asprin unaniharibia dada hata pombe hagusi wewe uwe unafuatana na manengelo.. huyu member mpya ila anaijua JF kama kwake.

nitaendelea...
Hahahaha we jamaa umenichekesha sana wallah...

Haya hebu fanya maarifa haka ka manengelo kakuelewe vizuri afu kachukue hatua madhubuti
 
Unakaa hapo mbele kusubiria ninj badala ya kuja huku PM tuyajenge? Ama kweli una macho lakini huoni[emoji848]
Naskia PM yako uliweka kufuli aina ya Viro.... tehteehh
Hapa nilikua nabahatisha tu hata kama utanijibu kwa Tag, then nitajua tayari pamenoga [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Daby umetumia kigezo gani kunichagulia hicho kibabu chenye mapengo?[emoji848]
Lahaulaaa lakwata......
Naomba nimtunuku kijana kwa uwezo wa kutambua Babu na Bibi zake[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Naskia PM yako uliweka kufuli aina ya Viro.... tehteehh
Hapa nilikua nabahatisha tu hata kama utanijibu kwa Tag, then nitajua tayari pamenoga [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Usijali, we njoo na safari lager za kutosha.
Daby atapewa mrejesho kesho[emoji39]
 
Lahaulaaa lakwata......
Naomba nimtunuku kijana kwa uwezo wa kutambua Babu na Bibi zake[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Huyu bwana mdogo bado anasumbuliwa na utoto, tangu lini gari bovu likavutwa na gari bovu....anitafutie kakijana kenye damu inayochemka[emoji6]
 
Huyu bwana mdogo bado anasumbuliwa na utoto, tangu lini gari bovu likavutwa na gari bovu....anitafutie kakijana kenye damu inayochemka[emoji6]
Leo naona umeamua kuweka tangazo kupitia fasihi...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Leo naona umeamua kuweka tangazo kupitia fasihi...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nitangaze wapi wakati Daby keshanimwagia mboga kwa kunichagulia gari bovu nyenzake[emoji57]
Leo nagonga hodi kwa Door yako nikia na chupi ya chang'aa mkononi...[emoji39] [emoji39]
We njoo tu, ila usisahau kuja na ile nyama pendwa ili tuisindikizie kwenye chang'aa yetu[emoji23]
 
Nitangaze wapi wakati Daby keshanimwagia mboga kwa kunichagulia gari bovu nyenzake[emoji57]We njoo tu, ila usisahau kuja na ile nyama pendwa ili tuisindikizie kwenye chang'aa yetu[emoji23]
Lahaulaaa lakwata.....
Sijawahi kuona mbuzi mwenye anajichinja kwa mbele ya Bucherman...[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom