Wengine wana macho ila hawaoni.

Duuh... Chukulia jinsia yako kisha niambie..

Vijana kama nyie mnakufa mapema kila jambo serious na bahati mbaya wengi mnakufa maskini.
Hiyo ni dalili ya mtu mjuaji, perepeche nyingi na huku anasubiria shemu arudi na samaki ndo wale
 
Mkuu kalumanzila usije ukasahau au ukateleza ukaniloga mimi kwa sababu hii vita wala sijaianzisha mimi!....Please mloge muhusika mwenyewe!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha uoga mkuu!.. Kalumanzila atakua anga za mbali huko muda huu...
 
UKIENDELEA UNITAG
 
Siku nikikumbukwa mimi nitacheka kama hivi[emoji117][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…