udogo gani mkuuWe bado mdogo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
udogo gani mkuuWe bado mdogo....
Hiyo ni dalili ya mtu mjuaji, perepeche nyingi na huku anasubiria shemu arudi na samaki ndo waleDuuh... Chukulia jinsia yako kisha niambie..
Vijana kama nyie mnakufa mapema kila jambo serious na bahati mbaya wengi mnakufa maskini.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha uoga mkuu!.. Kalumanzila atakua anga za mbali huko muda huu...Mkuu kalumanzila usije ukasahau au ukateleza ukaniloga mimi kwa sababu hii vita wala sijaianzisha mimi!....Please mloge muhusika mwenyewe!
Kwani akiwa mamtoni anashindwa kumloga mtu ambae yupo bongo?[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha uoga mkuu!.. Kalumanzila atakua anga za mbali huko muda huu...
UKIENDELEA UNITAGTuwasaidie tu hawa wanachitchat na Wana MMU wenzetu kuwaonyesha wanaolandana nao.
Ukiwa member wa MMU technically unaangukia kuwa member wa chitchat..la sivyo jitangaze leo tukuvue uanachama.
Naanza.
Ushimen wanaendana saana na Thad ..nadhani wanatakiwa wachukue hatua madhubuti.
Behaviourist wanaendana na Demiss nyie hamna haja ya kuchelewa tutangazieni ndoa michango tutoe.
Asprin unaniharibia dada hata pombe hagusi wewe uwe unafuatana na manengelo.. huyu member mpya ila anaijua JF kama kwake.
nitaendelea...