Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana Wanajamvi.
Kwa mujibu wa Hezekiah Wenje, Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati.
Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ilimfukuza.
Ikiwa Kanda ya Kati yenye Mikoa ya Morogoro,Dodoma & Singida ilimtoa hadi Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ikamtimua,je itaiweza nafasi ya Mwenyekiti Taifa ?.
Nadhani ni vizuri tukamwacha Lissu aendelee na safari zake za Belgium.
Ngongo kwa sasa The Hub tayari kuukaribisha mwaka mpya.