Swali je kwa wakati ule muliwapa mafunzo hao viongozi namna ya kuenenda kwenye hiyo kamatiHeshima sana Wanajamvi.
Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati.
Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ilimfukuza.
Ikiwa Kanda ya Kati yenye Mikoa ya Morogoro,Dodoma & Singida ilimtoa hadi Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ikamtimua,je itaiweza nafasi ya Mwenyekiti Taifa ?.
Nadhani ni vizuri tukamwacha Lissu aendelee na safari zake za Belgium.
Ngongo kwa sasa The Hub tayari kuukaribisha mwaka mpya.
Nyie mnahubiri katiba mpya mbona yakwenu chadema hamtaki kuiboresha hadi mna mwenyekiti wa kudumu, (mwenyekiti wa maisha), pia mnahubiri uchaguzi huru na wa haki je chaguzi zenu zikojeJibu alishindwa kuongoza kanda yenye mikoa 3.Unafikiri ataweza kuongoza chama kikubwa nafasi ya Mwenyekiti?.
2020 mkamuamini na kumpa nafasi ya kugombea urais wa nchi.Jibu alishindwa kuongoza kanda yenye mikoa 3.Unafikiri ataweza kuongoza chama kikubwa nafasi ya Mwenyekiti?.
Ni wapumbavu wanajimaliza wenyewe2020 mkamuamini na kumpa nafasi ya kugombea urais wa nchi.
Angeshinda ingekuwaje?
Walijua hawezi shinda, walimtoa tu kafara bwana JPM amtafune, na bahati yake alikimbilia ubalozini, JPM angemla mazima na kumaliza kazi2020 mkamuamini na kumpa nafasi ya kugombea urais wa nchi.
Angeshinda ingekuwaje?
Issue kubwa ni alishindwa kuongoza kanda ya Kati.Nyie mnahubiri katiba mpya mbona yakwenu chadema hamtaki kuiboresha hadi mna mwenyekiti wa kudumu, (mwenyekiti wa maisha), pia mnahubiri uchaguzi huru na wa haki je chaguzi zenu zikoje
Practicing an endless chairmanship of a political party
Ama ndiyo zidumu fikra za mwenyekiti wa chadema
Huko chadema hakuna demokrasia lakini mnahubiri demokrasia nadhani mna tatizo la afya ya akili
You do not practice democracy in your political party and yet you want CCM to practice democracy, hahaha 🤣
Nyie bado hamjakua kisiasa, hizo kelele kwa kinyakyusa tunaita noises from pressure groups
Mlivyo wapumbavu mnatoa siri zenu hadharani
Casgating each other is old politics rather practiced by un matured politicians
Kesho anaongea na UmmaChadema watajuta, na kama akipanua mdomo ujue anaongelea maslahi yake
Akili hizo hizo zilimruhusu agombee kama Rais wa jamuhuri ya Tanzania 2020 inamaana hujagundua kwamba nyie ndiyo hamna akili yaani mnatatizo la afya ya akiliIssue kubwa ni alishindwa kuongoza kanda ya Kati.
Mnajadili taarifa za uongo za Wenje.Kama kanda tu ilimshinda hui uwenyekiti si chama kitasambaratika miezi 6 tu ya uongozi wake.