GE2025 Wenje: Hauwezi kushika dola barabarani kwa maandamano

GE2025 Wenje: Hauwezi kushika dola barabarani kwa maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966


KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema anakishangaa chama chake cha zamani CHADEMA kwa kushindwa kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa chama hicho. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM, uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema msingi wa kuanzishwa kwa chama chochote cha siasa ni kushika dola lakini anawashangaa CHADEMA kususia uchaguzi.
 
Siaseme tu kuwa jamaa wamechoma kichaka cha udalali wa siasa.

Anyway akae kwa kutulia ,aone namna wanaume walivyoamua kunyoosha mambo kwa njia ngumu mamamamaaaeee
 
Roho ya uchawi na husuda bado inawasumbua naona, nyie mnahangaika nini si mnyamaze kwani shida nini tuachene na uchafuzi wetu.
 
IMG-20251019-WA0003.jpg


NB 😃
 
Wenje apuuzwe, hana impact, ni mpuuzi, apalilie ugali wake, aache kuinangananga CHADEMA kinafiki wakati alikuwa kiongozi mwandamizi. anadanganya wapuuzi wenzake, werevu wanaona anafanya abrakadabra tu na kucheza makidamakida
 
Nyamagana wenje alitangazwa mshnd kwasababu ya maandamano ya watz, nchi nyng dola iliangushwa na kusmikwa dola nyngn sbb ya maandamano si uchaguzi, kenya amekuwa baba wa demokrasia na haki sababu ya maandamano hv huyo ktumbua ana akili timamu kweli eeeh.
 
Back
Top Bottom