KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema anakishangaa chama chake cha zamani CHADEMA kwa kushindwa kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa chama hicho. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM, uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema msingi wa kuanzishwa kwa chama chochote cha siasa ni kushika dola lakini anawashangaa CHADEMA kususia uchaguzi.
Wenje apuuzwe, hana impact, ni mpuuzi, apalilie ugali wake, aache kuinangananga CHADEMA kinafiki wakati alikuwa kiongozi mwandamizi. anadanganya wapuuzi wenzake, werevu wanaona anafanya abrakadabra tu na kucheza makidamakida
Nyamagana wenje alitangazwa mshnd kwasababu ya maandamano ya watz, nchi nyng dola iliangushwa na kusmikwa dola nyngn sbb ya maandamano si uchaguzi, kenya amekuwa baba wa demokrasia na haki sababu ya maandamano hv huyo ktumbua ana akili timamu kweli eeeh.