Wenje: Lissu ni muongo muongo sana

Wenje: Lissu ni muongo muongo sana

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana.

Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
 
PIGO LA MWISHO KWA CHADEMA … hii ndio safari ya kutoka kuwa chama kikuu cha upinzani mpka chama cha upinzani… kwa heri CHADEMA
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wenje yuko live anamvua nguo Lisu
Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana
Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
Yeye hapo kadhibitisha nini? Zaidi ya kuongee uharo na chiki, nyie vibaraka wa mbowe mna kazi kweli hamuezi kubadilisha jamii ya watanzania walisha wajua.
 
Wenje huyu dalali anayepiga hela za Abdul kama hana akili nzuri. Mwache abwabwaje hajui Lissu aliwarekodi pale Tageta na hilo ndiyo itakuwa pigo la mwisho kwa Mbowe, pigo moja tu,pigo takatifu,pigo lililonyooka.
 
Wenje yuko live anamvua nguo Lisu
Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana
Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
Huu ni wakati ambao watu wenye hulka za kichawa chaqa husema chochote kwa matumaini ya kujiimarisha kisiasa. Si vizuri kuzungumza uongo na si vizuri kumsingizia mtu uongo. Kujadiliana kwa hoja zaidi ni jambo makini zaidi.

Wajumbr mtakaopiga kura kuweni makini na wakati ukifika mpige kura kwa akili na siyo hisia.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wenje yuko live anamvua nguo Lisu
Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana
Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
for sure,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni muonga mno hilo liko wazi kabisa na actually ni mnafiki kupindukia na ndio maana wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wanamsubiri Jan 22,2025 wampatie dawa ya mdomo na makelele ya kwa uhuru, haki na uwazi 🐒
 
Mimi najuaga ndani ya chama, hata kama ni kampeni kuna namna ya kujiinua wewe na kumfanya mpinzani wako awe hana nguvu zaidi yako kimaneno ila sio kutukana au kuibua siri za ndani ya chama chenu mana baada ya uchaguzi mtarudi kuwa wamoja ..sasa itakuweje na ilihali mlifumuana? Yani wamekosa namna ya kujinadi..yani upande wa TL wajisemee watavyoimarisha chama Chao kwenye ushindani na watawala na upande wa mh mkiti nae useme walivyojipanga kuimarisha chama tofauti na mwanzo..sasa wanapoongelea mapungufu ya kila mmoja inakuwa wananyukana
 
PIGO LA MWISHO KWA CHADEMA … hii ndio safari ya kutoka kuwa chama kikuu cha upinzani mpka chama cha upinzani… kwa heri CHADEMA
Kamuulizeni yule nduli magufuli alisemaje na baada ya kusema nani aliyekufa, ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa chadema imekufa au kamuulizeni yule mla nguruwe mchengelwa ndio atakupa taarifa za chadema tofauti na hapo only lunatic can believe on your sentiment.
 
Nasubiria majibu mujarabu kabisa kutoka kwa mwamba Lisu ili tufunge mwaka tukiwa hatuna deni nae, na hilo jibu nadhani litakua baya sana kwa hao madalali wa rushwa
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom