Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Umethibitishaje uongo wa Wenje?Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana.
Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
And huyo mtu wanayemuita akili ndogo (saa100) ndiyo kawasambaratisha kabisa, yule mwingine alitumia mabunduki, huyu bi mkubwa haongei, ila anajua pa kuwafinya!! Waendelee na delusion zao kuamini kila mtu aliyepo CCM ni kilaza and wao ndiyo akili kubwaPIGO LA MWISHO KWA CHADEMA … hii ndio safari ya kutoka kuwa chama kikuu cha upinzani mpka chama cha upinzani… kwa heri CHADEMA
Jinsi Lissu alivyomkurupukaji asiye na subira na mropojkaji angekuwa na hiyo video angeshaitoa, subiri siku ya kupiga kura video ya Lissu akiomba msamaha kamati kuu baada ya kudanganya Mbowe kaongwa hela itavyomvua nguo hadharani na ufitini wakeWenje huyu dalali anayepiga hela za Abdul kama hana akili nzuri. Mwache abwabwaje hajui Lissu aliwarekodi pale Tageta na hilo ndiyo itakuwa pigo la mwisho kwa Mbowe, pigo moja tu,pigo takatifu,pigo lililonyooka.
Mkuu hawa ni wahuni, kitambo tu, sema mliambiwa sana mkawa wabishi! Real Opposition nyinyi mmekuwa mnawaita CCM B, hawa jamaa ndiyo real CCM B kitambo sana, Kikwete ndiye aliwalea hawa, aliwatumia sana kuchafua wapinzani wake, JPM na Samia wamewakazia, ndiyo kutapatapa kote huku, mara kutukana, mara wanaitaka Tanganyika, mara kuunga juhudi, ushuzi mtupu! Nobody ndani ya viongozi wa CDM ni mpinzani wa kweli, waganga njaaNajiuliza hivi Mbowe na Lisu wameshindwa kuwazuia hawa chawa wao waache kampeni za hovyo, za kijinga, za matusi na za kitoto. Kama wameshindwa jaribio hili dogo tu vipi wanataka tuwape nchi wataweza kweli kudhibiti vyombo vya dola ikiwa chawa wao tu wameshindwa kuwadhibiti. Kama watu wazima na akili zao ndio hizi za kushindwa kujua kuna maisha baada ya uchaguzi vipi watawezaje kuongoza nchi. Yaani hao chawa wa Mbowe na Lisu kati yao ndio wategemewe watoke humo mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, n.k. hapana aisee. Na kati ya Lisu na Mbowe eti mmoja awe amiri jeshi mkuu wakati wameshindwa kukemea chawa wao wafanye kampeni za kistaarabu.
Njia ile ile ya bonde la uvuli wa mauti NCCR, TLP na CUF zilimopita ndio njia ile ile CHADEMA inapita sasa. Kwa jinsi watu wazima CHADEMA wanavyovuana nguo mbele ya vyombo vya habari siioni tena kama CHADEMA itaendelea kuwa chama chenye nguvu hata kama watapita salama kwenye uchaguzi ujao kutokana na kauli zao za hovyo wanazojibishana mbele ya vyombo vya habari.
Ni mtizamo tu
Tuna mabomu tumetulia nayo ya huyo zero brain dj very soon yatatoka na wote mtaandamana hamumtaki tena na mashtaka mtamfungulia na msomi mchapakazi asiye kua na chembe ya uoga TUNDU ANTIPAS LISSU atamwombea MSAMAHA.Jinsi Lissu alivyomkurupukaji asiye na subira na mropojkaji angekuwa na hiyo video angeshaitoa, subiri siku ya kupiga kura video ya Lissu akiomba msamaha kamati kuu baada ya kudanganya Mbowe kaongwa hela itavyomvua nguo hadharani na ufitini wake
Subiri video akiomba msamaha kamati kuu kwa uongo itavyooneshwa kwa wajumbe tarehe 21 Mkuu, kuwa na subiraTuna mabomu tumetulia nayo ya huyo zero brain dj very soon yatatoka na wote mtaandamana hamumtaki tena na mashtaka mtamfungulia na msomi mchapakazi asiye kua na chembe ya uoga TUNDU ANTIPAS LISSU atamwombea MSAMAHA.
Huyo mpuuzi anajivua nguo mwenyewe. Hili tifu lote linaloendelea Chadema limetokana na hela chafu ya Abdul na ni yeye Wenje aliyemleta Abdul na kumkutanisha na viongozi waandamizi wa Chadema kuwagawia huo mlungula ili wawe laini Mama Abdul atawale kwa raha zake. Wenje atangazwe kuwa adui namba moja wa Chadema.Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana.
Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
Hiyo itatolewa wakati muafaka subirini muone hilo 💣 litakavyo wasambaratisha wanufaika wote wa hela ya Abdul.Jinsi Lissu alivyomkurupukaji asiye na subira na mropojkaji angekuwa na hiyo video angeshaitoa, subiri siku ya kupiga kura video ya Lissu akiomba msamaha kamati kuu baada ya kudanganya Mbowe kaongwa hela itavyomvua nguo hadharani na ufitini wake
SikupingiUsaliti aka U-SNITCH kwa wajaluo upo kwenye DNA!
Angalia hata Obama pamoja na kwamba sio "pure breed" ya jaluo Ila ni binge la snitch!