Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Tuhuma na ushahidi aliupeleka kamati kuu, Jana wenje kasema wakati wa hiko kikao kuhusu hizo tuhuma walirekodi hiko kikao. Lissu Jana hiyo hiyo akamjibu wenje kuwa waweke wazi hizo video za kikao ili kila kitu kijulikane. But wakichelewa naamini lissu atayamwaga yoteMkuu,tunampenda Lissu, lakini tunataka aweke tuhuma zake dhidi ya Wenje na Abduli mtoto wa Mama straight.
Lissu kama alivyosema hapo awali kuwa Abduli alitaka amhonge ili yeye Lissu apunguze maneno makali dhidi ya Mama Abduli.
Sasa kati ya hawa Viongozi wawili mmoja wao anasema uongo tunataka tumjue ni nani?.
Watu wanasema Lissu anaropoka kuropoka hakuna ubaya wowote kama uliyoyaropoka ya yana ukweli.
Kuropoka huko ndiko kunakotakiwa.